Ujinga wa waTanzania ni kujidanganya kuwa kodi zinazokusanywa ni zao wananchi

Ujinga wa waTanzania ni kujidanganya kuwa kodi zinazokusanywa ni zao wananchi

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Yaani watu wakae vikao ambavyo wewe huingii wapange kodi,wakusanye,wapange matumizi yake,walipe madeni,wapange matumizi,wajilipe wao,nk bado mnakomaa tu kuwa hela za kodi ni zenu mna akili kweli nyie?

Hela ambayo huna maamuzi nayo ni yako kvp?

WaTz mjitafakari!!
 
We mwehu kweli ss si wanachukua hela zetu au ww hunui maana ya kodi mpk wanabembeleza ukiuza dai risiti ukinunua dai risti
 
We mwehu kweli ss si wanachukua hela zetu au ww hunui maana ya kodi mpk wanabembeleza ukiuza dai risiti ukinunua dai risti
Wanachukua au unawapa kwa ujinga wako?kazi hukue au kazipangie matumizi yako ikiwemo matibabu yako
 
Back
Top Bottom