Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukale wapi mkuu na mtaji wetu ni wajinga?Kuweni na huruma
WABONGO MATAPELI, na vile tuna TCRA ya kudeal na Siasa tu, kunafanya MATAPELI haya, yanazi download video hizo mbalimbali.Maisha yanaenda Kasi, Kila MTU Kila siku anatafuta namna ya kuishi.
WACHINA Kila siku wanakuja na Gunduzi za Kila aina , Gunduzi zao zinawekwa mitandaon , zipo Gunduzi zinazowekwa mitandaoni lakn zinakua restricted kutumika kwenye Nchi zao tu .
WABONGO MATAPELI, na vile tuna TCRA ya kudeal na Siasa tu, kunafanya MATAPELI haya, yanazi download video hizo mbalimbali.
Kisha wanaziedit na kuzitumia kama Matangazo , utasikiaaaa
Wateja wangu sasa Trekta za kuvunia zimeingiaa
Nyumba za Mchina zimefikaaa
Pikipiki za kutumia Maji zipoo
Tapeli huyu anaweka na namba,
Mtanzania Mjinga, anapiga simu, anaambiwa aaahh unataka Nyumba ? Ya vyumba vingapi? Hiyo ni Milion 5 .
Gharama za usafiri ni juu yetu, au gharama za usafiri Kuna punguzo.
Mtanzania Mvivu na Mjinga , hataki kujua kama Muuzaji ana Ofisi , Ofisi zipo wapi ?? Ni Kampuni ilosajiliwa?
Mtanzania Mjinga, anashindwa hata kuulizia , Naomba unitumie picha yako wewe ukiwa umesimama kwenye nyumba hiyo/Bidhaa hiyo.
Katika kuwaaminisha Watanzania wajinga , Tapeli anakua na Akaunti zake feki nyingine , anazokuja kucomment tena
-Ahsante Mkuu nmepokea mzigo.😂
-Nyumba nzuri sana hii tayari nalala kwangu🤣
-Boss wee ni Mwaminifu sana mzigo umefika.🤣
Huu wizi unafanywa 100% na Wanawake na wanaume wa Dar.
Daah watu wa Dar hata kama mnapenda Maisha mepesi msoyahangaikia, kuweni na huruma.
View attachment 3206589
Huyo mdada ulistahili kuchapa makofi aliporudi kwako baada ya kutapeliwa.kuna mdada alitapeliwa kijinga sana na nilimuonya, kuna wauza simu aliwaona huko insta akaniambia kuhusu hiyo platform nikamuambia vitu vya kuangalia alipocheki akaona si salama!.
lakini hakuridhika akawa anakomalia nikamuonya tena na tena!, akafanya malipo bila kuniambia akakaa ati anasubiri simu...🤣🤣
mbona alinitafuta tena hapo kesha subiri kakoma kulia anashindwa huzuni zimemjaa!.
kuna watu wanalazimisha wenyewe kutapeliwa sijui wanashida gani!.
alikuwa ni rafiki yangu siwezi mpiga rafiki ndugu!..😅Huyo mdada ulistahili kuchapa makofi aliporudi kwako baada ya kutapeliwa.
Ni mpumbavu Sana yule.
Uliishia wapi vile?Ikiwa kama mpaka zama hizi watu wanauziwaeneo la bahati maji yakihama, watu wanauzuwa ahafi hewa hadharani na wanasiasa na wanazisubiria.
Dah! Nimekumbuka ule mradi wa Vanilla Village kule Njombe