Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kuvaa mabomu mkuu.....
Sijambo sana.Namtafuta stevoh umenionea wapi?au ndo kanitosa tayari...Hujambo binti sayuni?
Na mie Nikaribishe basi...Hongera sana Lucas . Karibu katika ulimwengu wa uwazi. Ni uamuz mzuri
Bwana Yesu asifiwe sana..Sasa tubadilishie na avatar basi tufurahi zaidi kukufahamu..Ahsante karibu pia.. si umeona signature yangu hapo chini?
Na mie Nikaribishe basi...
Ha ha ha...Haya ntaweka ila sitajitangaza ndo mimiWewe bado. Weka majina yako yote na picha
Thanks sana mkuu, salaam sana kwa wana Mwanza, I hope to be there again
Ha ha ha...Haya ntaweka ila sitajitangaza ndo mimi
samahani sana mkuu, mimi nlijua wewe dame ndo maana nikakupm!..hahahaaa...!!!. mia
Aha ha hahah hhah kwema kaka, za siku nyingi kuna siku nilitaka nikupigie simu pia ila nikawa niko tight sana, vipi huko kwetu? niliona picha ya *****stars.... ila ulionekana kama mshika jezi!!!
Sina cha ziada ila napenda tu ndio iwe hivyo..kwa nini usitangaze?
Erickb52 hilo jina la saint litoe usitake papa mpya akajihuzuru tena eti saint Erick!
kheee!hata kumenshenika hamemesheniki tena?
nimeacha aisee!!. miaAcha tamaa we dogo.