Kuna siri kubwa kwenye huo mkataba. Ila kwa sababu Tanganyika wajinga ni wengi, tumeshindwa kushikamana dhidi ya umafya uliopangwa kwa umakini mkubwal na Wazanzibari.
Mkakati wa muda mrefu ni kwamba Wazanzibari wanasema pwani yote toka Mtwara hadi Pangani, kilometer 20 toka baharini kwenda bara, pamoja na kisiwa cha Kilwa, ni mali ya Zanzibar, kwa vile eneo hilo kabla ya utawala wa Wajerumani, lilitawaliwa na sultani.
Kwa hiyo kinachofanyika sasa, ni taratibu kulikabidhi eneo hilo kupitia uwekezaji uchwara wa Waarabu, (ndiyo maana IGA inasema kuwa eneo lolote ambalo DPW itataka, serikali itatakiwa kuwalipa fidia wahusika na kuwakabidhi DPW). Mkakati huo wa kuchukua ardhi kupitia IGA utaenda sambamba na ununuzi wa ardhi wa hao wageni kwenye maeneo mengine ya pwani. Hilo likikamilika, Zanzibar itajitenga na Muungano, na kudai eneo lote la pwani. Lakini pia sultani wa Oman alitamka wazi kuwa ndoto yake ni siku moja lazima makao yake yarudi kwenye eneo lake la kale, yaani Zanzibar.