Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hakuna mgogoro wowote wala tishio lolote la kiusalama, kwasababu DPW imepewa a security clearance, na wao ni operators only, ulinzi wa mipaka yetu bado jukumu la JWTZ, hivyo usiwe na wasiwasi kabisa!.Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.
P