Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
- Thread starter
-
- #21
Kama una ndugu anafanya bandari za Mtwara na Tanga uliza nao wamepewa Tangazo ; sasa kama ni dar lot tatu tu kwanini kuwatangazia hadi wa mikoani ?Hii taarifa umetoa wapi ya DP World watapewa Tanga na Mtwara?🤔
Prof.Anna Tibaijuka katika kupinga Hoja ya Kuuzwa kwa Bandari kwa kampuni ya DPW aliwahi kusema kwamba:Bandari katu hazina dini na wala hazihitaji; wenye bandari zao ndo wenye dini na hapo ndo tatizo linapoanzia.
Kumbe ndio maana TEC walisema hawaamini kama ni lot tatu tu hadi waone mkataba uliofichwaTulieni ndiyo mtaelewa kwa nini wenye akili timamu walipinga.
Tanzania inaanzia Zanzibar kwenda Bara na sio Kuanzia Bara kwenda Visiwani Zanzibar. Anayejua udongo mdogo walitoa wapi kwenda kuchanganya sehemu yenye udongo mwingi (location waliposimama) atusaidie. Official Union Signing location.Kuna siri kubwa kwenye huo mkataba. Ila kwa sababu Tanganyika wajinga ni wengi, tumeshindwa kushikamana dhidi ya umafya uliopangwa kwa umakini mkubwal na Wazanzibari.
Mkakati wa muda mrefu ni kwamba Wazanzibari wanasema pwani yote toka Mtwara hadi Pangani, kilometer 20 toka baharini kwenda bara, pamoja na kisiwa cha Kilwa, ni mali ya Zanzibar, kwa vile eneo hilo kabla ya utawala wa Wajerumani, lilitawaliwa na sultani.
Kwa hiyo kinachofanyika sasa, ni taratibu kulikabidhi eneo hilo kupitia uwekezaji uchwara wa Waarabu, (ndiyo maana IGA inasema kuwa eneo lolote ambalo DPW itataka, serikali itatakiwa kuwalipa fidia wahusika na kuwakabidhi DPW). Mkakati huo wa kuchukua ardhi kupitia IGA utaenda sambamba na ununuzi wa ardhi wa hao wageni kwenye maeneo mengine ya pwani. Hilo likikamilika, Zanzibar itajitenga na Muungano, na kudai eneo lote la pwani. Lakini pia sultani wa Oman alitamka wazi kuwa ndoto yake ni siku moja lazima makao yake yarudi kwenye eneo lake la kale, yaani Zanzibar.
Hakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitilizmbwa
Hili sitaki mtu aamini au Aiamini Lakini kuna siku tulikua Quatar mwanadiplomasia mmoja wa moja ya nchi za Ulaya Mashariki akatuambia “ nchi yenu ina mahusiano maalum na UAE “ … akasema wana Ukoo wa ufalme walimuambia Tanzania ni kama moja ya mataifa yanayounda UAE … sasa nikajiuliza ni kwa ajili ya uwepo wao Loliondo au ni sehemu ya mkakati wa muda mrefu …?!?!??Kuna siri kubwa kwenye huo mkataba. Ila kwa sababu Tanganyika wajinga ni wengi, tumeshindwa kushikamana dhidi ya umafya uliopangwa kwa umakini mkubwal na Wazanzibari.
Mkakati wa muda mrefu ni kwamba Wazanzibari wanasema pwani yote toka Mtwara hadi Pangani, kilometer 20 toka baharini kwenda bara, pamoja na kisiwa cha Kilwa, ni mali ya Zanzibar, kwa vile eneo hilo kabla ya utawala wa Wajerumani, lilitawaliwa na sultani.
Kwa hiyo kinachofanyika sasa, ni taratibu kulikabidhi eneo hilo kupitia uwekezaji uchwara wa Waarabu, (ndiyo maana IGA inasema kuwa eneo lolote ambalo DPW itataka, serikali itatakiwa kuwalipa fidia wahusika na kuwakabidhi DPW). Mkakati huo wa kuchukua ardhi kupitia IGA utaenda sambamba na ununuzi wa ardhi wa hao wageni kwenye maeneo mengine ya pwani. Hilo likikamilika, Zanzibar itajitenga na Muungano, na kudai eneo lote la pwani. Lakini pia sultani wa Oman alitamka wazi kuwa ndoto yake ni siku moja lazima makao yake yarudi kwenye eneo lake la kale, yaani Zanzibar.
Endelea kusoma hiyo minyoo yenu ndo maana hamna akili. Ubwabwa na ndizi zinatosha kuwahongeni nyie wafuasi wa yule kibaka!! Pathetic fool!Stupid!!!
We ndo hujaelewa chochote kuhusu nia mtoa mada......uncouth!!!
Hao ndugu zenu mnaosoma wote ile minyoo ndo wanaongoza kuwatesa sana hata kuwachinja wenzenu huko arabuni!! Hujiulizi kwanini huwa mnakimbilia kwa makafiri Ulaya na si Arabuni mkasome hiyo minyoo?Hakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
Kichaa weweStupid!!!
We ndo hujaelewa chochote kuhusu nia mtoa mada......uncouth!!!
Ni sawa kuhoji, Huenda DPW ikakosa wafanyakazi wazoefu iwapo wengi wataamua kubaki serikalini hivyo wakaamua kutanua wigo wa wafanyakazi wa bandari walio tayari kuamia DPWKama una ndugu anafanya bandari za Mtwara na Tanga uliza nao wamepewa Tangazo ; sasa kama ni dar lot tatu tu kwanini kuwatangazia hadi wa mikoani ?
We kafiri usiye na akili unayeendekeza dini za kitumwa tulia wenye kujua watoe majibu.Hakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
Na ndio vurugu mechi za Morogoro na migogoro ya ardhi.Kuna siri kubwa kwenye huo mkataba. Ila kwa sababu Tanganyika wajinga ni wengi, tumeshindwa kushikamana dhidi ya umafya uliopangwa kwa umakini mkubwal na Wazanzibari.
Mkakati wa muda mrefu ni kwamba Wazanzibari wanasema pwani yote toka Mtwara hadi Pangani, kilometer 20 toka baharini kwenda bara, pamoja na kisiwa cha Kilwa, ni mali ya Zanzibar, kwa vile eneo hilo kabla ya utawala wa Wajerumani, lilitawaliwa na sultani.
Kwa hiyo kinachofanyika sasa, ni taratibu kulikabidhi eneo hilo kupitia uwekezaji uchwara wa Waarabu, (ndiyo maana IGA inasema kuwa eneo lolote ambalo DPW itataka, serikali itatakiwa kuwalipa fidia wahusika na kuwakabidhi DPW). Mkakati huo wa kuchukua ardhi kupitia IGA utaenda sambamba na ununuzi wa ardhi wa hao wageni kwenye maeneo mengine ya pwani. Hilo likikamilika, Zanzibar itajitenga na Muungano, na kudai eneo lote la pwani. Lakini pia sultani wa Oman alitamka wazi kuwa ndoto yake ni siku moja lazima makao yake yarudi kwenye eneo lake la kale, yaani Zanzibar.
Wengi wenu elimu hamna ndo shida pia hata mki elimika elimu huwa haingiiHakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
Ila safari hii CHADEMA wasijifiche kwenye makubaliano ya "Maridhiano"Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World
Jikite kwenye hoja. Wacha dharau na Ukasuku.Wengi wenu elimu hamna ndo shida pia hata mki elimika elimu huwa haingii
Tunajadili hoja ya mleta mada na si hoja ya tibaijuka. Muelewe mtoa mada.Prof.Anna Tibaijuka katika kupinga Hoja ya Kuuzwa kwa Bandari kwa kampuni ya DPW aliwahi kusema kwamba:
"Tunapinga suala la kuuzwa kwa bandari kwa DPW siyo kwa sababu ya dini za Viongozi, Bali ni kutokana na KASORO ZILIZOPO KWENYE MKATABA."
Nafikiri sasa umeelewa point iliyopo kwenye hoja hii.
Kwani huyo mtoa mada ameleta hoja inayohusu nini? Mada yake inahusu 'uislamu wa bandari' au hoja kuhusu mkataba wa DPW??????Tunajadili hoja ya mleta mada na si hoja ya tibaijuka. Muelewe mtoa mada.
mtu kama huyo aliyevaa miwani ya udini unategemea ataona kasoro zilizipo kwenye mkataba?Prof.Anna Tibaijuka katika kupinga Hoja ya Kuuzwa kwa Bandari kwa kampuni ya DPW aliwahi kusema kwamba:
"Tunapinga suala la kuuzwa kwa bandari kwa DPW siyo kwa sababu ya dini za Viongozi, Bali ni kutokana na KASORO ZILIZOPO KWENYE MKATABA."
Nafikiri sasa umeelewa point iliyopo kwenye hoja hii.