maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Tutajua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo umelewa na kuvimbiwa tende na haluwa za msaada unajambajamba tu matajiri na wanasiasa hawana Cha mwisilam wala mkristo mwezangu ndo maana hata futari zao wanawaarika hadi wakristo na sio masikini mwisilam mwenzake kama wewe.Hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
🤣 🤣 🤣Mbowe ataandamana kwa niaba yetu
Hivi Mbarawa ni mbunge wa kuchaguliwa au kuteuliwa ukujibu suali hilo tafakariKuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.
Hii ni kinyume kabisa Mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.
Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.
Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!
Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .
Kwani Dunia hii wawekezaji ni DPW tu , ni Hatari Kimkakati kumpa kampuni Moja Pwani nzima …Huko wangetangaza upya tupate wawekezaji tofauti kutoka Maeneo tofauti Duniani Ili tusije kuhujumiwa.Kwahiyo Tanga na Mtwara zisipate maendeleo
MkuuKuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.
Hii ni kinyume kabisa Mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.
Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.
Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!
Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .
TPDF tunayoijua wametoa clearance Wapi ?? MAGU mwenyewe hakuweza kuwapelekesha…… hakuna millitary na security analyst anayeweza kukubali kuwapa watu wa Nchi Moja Pwani nzima ya km 1,200 Tena ambao Miaka 100 iliyopita walikuwa na Madai ya kumiliki Pwani ya Afrika mashariki kwa km 20 [ a case of ten mile strip ] …….,Unaposema "a security clearance" unamaanisha nini?
Ngoja tuone mwisho wake.Lakn si wangetoa tangazo la kazi la kuwalenga walioko kazini kuliko kuwambia wanaotaka kubaki TPA au kwenda DPW wajiandikishe ukizingatia hizo bandari hazimhusu.Je kesho wakipeleka hilo tangazo TRA nchi nzima itaeleweka kweli?
Mkuu naona povu linakutoka kama lote! Mwarabu kaamua kuwanyoosha wazembe na wezi wa bandari. Kwa taarifa yako na ule mwendokasi tulioshindwa kuuendesha kutokana na ufisadi wetu tayari kakabidhiwa Mwarabu.Endelea kusoma hiyo minyoo yenu ndo maana hamna akili. Ubwabwa na ndizi zinatosha kuwahongeni nyie wafuasi wa yule kibaka!! Pathetic fool!
Waache wapewe waongeze ufanisi tupate maendeleo mkuu!Kwani Dunia hii wawekezaji ni DPW tu , ni Hatari Kimkakati kumpa kampuni Moja Pwani nzima …Huko wangetangaza upya tupate wawekezaji tofauti kutoka Maeneo tofauti Duniani Ili tusije kuhujumiwa.
Hatari sana ,Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.