Ujio wa DP world: Magari sasa kushuka bei na kuwa sawa na bajaji

Kweli nchi hii wajinga ni wengi uchawa haujawi mwacha mtu salama, turekebishe kwanza vifungu vya mkataba, labda kama dp naye kakabidhiwa TRA
 
Hata Sasa hakuna mtanzania anaendesha gari mpya ukiondoa wawili watatu tu

Wengine wote tunasubiri gari zichokwe Ulaya kiisha ziende nchi za ulimwengu wa pili halafu ndipo zikusanywe na kuletwa Afrika.

Gari Ina km laki moja lkn mtanzania akinunua anafanya sherehe
 
Huenda hata mleta mada hajui chochote, hawa ndio anaweza kuwa makamu leo, baada ya miaka kadhaa katiba ikampa nafasi ya kuongoza taifa, then unajua kitakachotokea
 
Aibu sana. Lakini viongozi ni V8 0 km. Unaweza dhani wananchi wapo kwa ajili ya viongozi na si viongozi kwa ajili ya wananchi.
 
Acheni uhuni, ili jambo lichukulien poa tutakuja kusema tuliwambia mkasema hamuendeshi nchi kwa kwa kelele za watu , mda ni mwalim mzuri sana
 
Shame on you, Mwarabu ndiyo anapanga ushuru wa bandari?
 
True
 
Hukute huyu kaandika huku ana masters lakini hajui hata kodi nani anapanga
 
Watu kama nyie transgender huwa na matatizo ya afya ya akili
 
6M uje ulitoe kwa 20M? We jamaa ni muongo kupindukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…