Ujio wa DP world: Magari sasa kushuka bei na kuwa sawa na bajaji

Hizo ni kwa mujibu wa sheria ya Kodi na zitaendelea kuwepo. Hao DP wao watapakua haraka tuu baadaye upambane na. T.R.A
Sheria za Kodi siyo msahafu. DP wakiweza kukusanya tozo na ushuru wa bandari unaofikia 6 trilioni kwa mwezi hizo sheria zitabadilishwa ama kufutwa ili Kodi ishuke kabisa
 

Hata huelewi mfumo wa kodi wa serikali ukoje..

TRA ndio wanaamua na kupanga kodi, sio Bandari (TPA), hivyo sahau ndoto za kodi kushuka sijui ya VAT, import tax, custom duty tax, excise duty tax, tax due to age, registration tax hizi zote lazima upigwe tu, Bandari pale kuna TRA ndio mpangaji wa kodi hizo za bandari, sio TPA au DP World wakija na makadirio ya budget ya 2023/2024 imepigia mahesabu kodi zitakazo kusanywa za magari na kupangia matumizi ya 2023/2024 kwa kutumia hizo kodi ghali zaidi za kuingiza magari nchini.

So hizo ni story za kijiweni tu.
 
😀eti sufuria dah.
 
Ukubwa na wingi wa Kodi utapunguzwa ili mtanzania aishi kama peponi baada ya DP World kuanza kukusanyateilioni 6 kwa mwezi kupitia tozo na ushuru wa bandari
Je mwaka 1996 ulikuwa na miaka mingapi?; Ulikuwa kijiji gani?
 
Hilo lilisibiri hadi mwarabu aje au
 
Hilo lilisibiri hadi mwarabu aje au
Ndiyo. Mwarabu anakuja kuongeza makusanyo ya bandari kupitia tozo naushiru wa bandari mpk kufikia trilioni 6 kwa mwezi.

Hii itapelekea serikali kurekebisha sheria za Kodi na kupunguza viwango vya Kodi na kuwafanya watanzania kuishi.kama peponi.

Mwarabu kachelewa huyu angekuja Jana.
 
Unavyoremba utafikiri.matumizi ya serikali yatapungua.

Matumixi ya serikali huongezeka kila.mwaka.hayapungui sababu ya idadi ya watu kuongezeka hivyo.gharama za huduma za kijamii na kiutawala kuongezeka sio rahisi kihivyo
 
Kwasababu bandari inaenda kuongeza mapato, basi TRA wataadjust hiyo Kodi ya magari. Labda!
 
Hizi ndo habari njema ambazo CHADEMA wasingenda kuzisikia.
 
🤣🤣🤣🤣 mtatuumiza mbavu, bro umefanya watu wanione nimerukwa na akili
 
kumbe mwarabu anapewa hadi TRA?
 
yaani gari hata litoke uganda ukilisajili hapa utadaiwa hio kodi huna ujanja huo kwa hio dp hataweza kucut off hizo kodi hizo kodi niza bunge na tra ndio wanaweza ku cut off..na wasiwasi na bidhaa nyingi kudi ni kubwa kuliko thamani ya manunuzi maana kama wameweza kwenye magari vip bajaji baiskel au pikipiki..unaweza kuta kil mtu anauwezo wa kumiliki bajaji ila kodi tu ndio mzozo
 
Tanzania magari ni ghali utafikiri tunajaribu kulinda viwanda vya ndani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…