Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Binafsi nimependa sana hili jambo. Kwa muda mrefu Tz amekuwa mkwamishaji mkubwa wa mipango ya EAC akijivunia wingi wa watu na ukubwa wa ardhi.
Siku zote akidai memba wengine wanataka kunyakua ardhi yake. Amekuja DRC ambaye ana ardhi nzuri kuliko TZ na kubwa kuliko memba wengine wote wakiwekwa pamoja. Wana idadi kubwa ya watu na rasilimali nyingi sana. Tanzania siyo darling tena wa EAC.
Wewe unaonaje ujio wa DRC kwenye EAC?