Ujio wa DR Congo EAC: Kiburi cha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa kimefika mwisho

Ushawishi wa Tanzania utaongezeka zaidi kwenye ukanda wa Africa Mashariki...

Tanzania alikuwa na Burundi pekee, sasa rafiki wa kudumu Congo DR naye amejiunga.., Yaani ndo kabisaaaa veto ya Tanzania inaongezeka kwenye ukanda
 
Jipe moyo, enzi za TZ kubembelezwa zimeisha. Hata makao makuu ya EAC yanaweza hamishwa
TANZANIA ITABAKI KUWA NA KURA YA VETO NDANI YA EAC. MSISAHAU KAMA TANZANIA NA CONGO WOTE NI MEMBERS EAC TOKA SADC NA TANZANIA NDI RAFIKI HALISI WA CONGO. MARA ZOTE UGANDA NA RWANDA WAKITAKA KURARUA RASILIMALI ZA CONGO TANZANIA NDO IMEKUWA KIMBILIO LA CONGO KUWATIMUA HAO WEZI.
 
Ndoto za kikomredi hizi. Wakifikiri duniani kuna urafiki wa ndotoni.
 
Back
Top Bottom