Ujio wa DR Congo EAC: Kiburi cha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa kimefika mwisho

Ujio wa DR Congo EAC: Kiburi cha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa kimefika mwisho

Tanzania bado tuna Jeuri

Kongo aridhi kibao kubwa kuliko yetu na Raslimali kibao kuliko Sisi ila kila utakapokanyaga mabomu na risasi za waasi zinarimdima kila kona

Sisi usalama na amani uko juu kuliko nchi yeyote ya EAC

Nenda kachukue ma hekari maelfu ya ma aridhi kongo hata bure uone mziki wake utaichukua at your own risk .Serikali haiwezi guarantee usalama wako dhidi ya Askari waasi walenga shabaha juu ya kichwa cha yeyote kikiwemo chako
Ukweli mchungu huu kuliko shubiri concentrated!
Kweli wana ardhi kubwa iliyojaa mabomu, guerrillas badala ya gorillas,

Ardhi unaishi Ka digidigi, WTF?

Wanaotaka kwenda kukaa huko waende! Wapewe mashamba ya kulima maua na makatapera waende!
 
Binafsi nimependa sana hili jambo. Kwa muda mrefu Tz amekuwa mkwamishaji mkubwa wa mipango ya EAC akijivunia wingi wa watu na ukubwa wa ardhi.

Siku zote akidai memba wengine wanataka kunyakua ardhi yake. Amekuja DRC ambaye ana ardhi nzuri kuliko TZ na kubwa kuliko memba wengine wote wakiwekwa pamoja. Wana idadi kubwa ya watu na rasilimali nyingi sana. Tanzania siyo darling tena wa EAC.

Wewe unaonaje ujio wa DRC kwenye EAC?
Ujio wa drc ndo tulikuwa tunasubiri na pia jua kabisa ardhi ya Tz ni ya WaTz sasa mkwende drc maana mmezoea kujitekenya na kucheka wenyewe. Makunyaland bana shobo sanaa
 
Hao hao War lords wanahitaji investors. Wao wanasupply ulinzi. War Lords kibao wa DRC wamejirasimisha, wana makampuni, na wengine ni wabunge kabisa. Ukiogopa shauri yako na uoga wako wa Ktz. Wakenya wamejaa kupiga biashara South Sudan watz wanakalia kusingizia vita.
Labda watawasaidia kupunguza njaa kenya
 
mjadala mzuri.maoni na michango inaleta na kujibu changamoto za drc
pamoja na changamoto hz.bd drc ni fursa.kn majimbo hayana vurugu uwekezaji unafanyika na unaendelea kufanyika
 
30 March 2022

EAST AFRICAN COMMUNITY

COMMUNIQUÉ OF THE

19TH EXTRA-ORDINARY SUMMIT OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY HEADS OF STATE

29TH MARCH, 2022

  1. THE EAST AFRICAN COMMUNITY HEADS OF STATE, THEIR EXCELLENCIES PRESIDENT UHURU KENYATTA OF THE REPUBLIC OF KENYA; PRESIDENT YOWERI KAGUTA MUSEVENI OF THE REPUBLIC OF UGANDA, PRESIDENT PAUL KAGAME OF THE REPUBLIC OF RWANDA; PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, VICE PRESIDENT PROSPER BAZOMBANZA REPRESENTING PRESIDENT ÉVARISTE NDAYISHIMIYE OF THE REPUBLIC OF BURUNDI AND BARNABA MARIAL BENJAMIN, MINISTER OF PRESIDENTIAL AFFAIRS REPRESENTING PRESIDENT SALVA KIIR MAYARDIT OF THE REPUBLIC OF SOUTH SUDAN HELD THE 19TH EXTRA-ORDINARY SUMMIT OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY HEADS OF STATE VIA VIDEO CONFERENCE ON 29TH MARCH, 2022. IN ATTENDANCE WAS PRESIDENT H.E FÉLIX ANTOINE TSHISEKEDI, PRESIDENT OF THE DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO. THE HEADS OF STATE MET IN A WARM AND CORDIAL ATMOSPHERE.
  2. THE SUMMIT RECALLED THAT AT ITS 18TH EXTRA-ORDINARY MEETING HELD ON 22ND DECEMBER, 2021, IT HAD DIRECTED THE COUNCIL TO EXPEDITIOUSLY COMMENCE AND CONCLUDE NEGOTIATIONS WITH THE DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO FOR ADMISSION TO THE EAST AFRICAN COMMUNITY AND REPORT TO THE NEXT SUMMIT.
  3. THE SUMMIT CONDOLED WITH E PRESIDENT YOWERI KAGUTA MUSEVENI, AND THE PEOPLE OF THE REPUBLIC OF UGANDA UPON THE DEMISE OF THE LATE RT. HON. JACOB OULANYAH, FORMER SPEAKER OF THE PARLIAMENT OF UGANDA.
  4. THE SUMMIT NOTED THE SUCCESFUL CONCLUSION OF THE NEGOTIATIONS BETWEEN THE DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO AND THE EAST AFRICAN COMMUNITY FOR THE ADMISSION OF THE DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO INTO THE EAST AFRICAN COMMUNITY AND COMMENDED BOTH PARTIES FOR THIS ACHIEVEMENT.
  5. THE SUMMIT RECEIVED AND CONSIDERED THE REPORT OF THE 46TH EXTRA-ORDINARY MEETING OF COUNCIL OF MINISTERS AND THE RECOMMENDATION ON THE ADMISSION OF THE DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO (DRC) INTO THE EAST AFRICAN COMMUNITY.
  6. THE SUMMIT DECIDED TO ADMIT THE DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO AS A FULL MEMBER OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY.
  7. THE SUMMIT DESIGNATED E PRESIDENT UHURU KENYATTA, THE CHAIRPERSON OF THE SUMMIT TO SIGN THE TREATY OF ACCESSION OF THE DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO INTO THE EAST AFRICAN COMMUNITY BY 14TH APRIL 2022. THEREAFTER THE DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO SHALL BE REQUIRED TO DEPOSIT THE INSTRUMENTS OF RATIFICATION WITH THE SECRETARY GENERAL BEFORE 29TH SEPTEMBER 2022.
  8. THE SUMMIT DIRECTED THE COUNCIL TO DEVELOP A ROADMAP FOR THE INTEGRATION OF THE DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO INTO THE EAC AND REPORT PROGRESS TO THE NEXT SUMMIT.
  9. THE SUMMIT CALLED FOR DEEPER ECONOMIC, POLITICAL, SOCIAL AND CULTURAL INTEGRATION WITH A VIEW TO IMPROVING THE QUALITY OF LIFE FOR THE PEOPLE OF THE COMMUNITY THROUGH INCREASED COMPETITIVENESS, VALUE ADDED PRODUCTION, TRADE AND INVESTMENT FOR SUSTAINABLE ECONOMIC RECOVERY.
  10. THEIR EXCELLENCIES PRESIDENT YOWERI KAGUTA MUSEVENI OF THE REPUBLIC OF UGANDA, PRESIDENT PAUL KAGAME OF THE REPUBLIC OF RWANDA; PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, VICE PRESIDENT PROSPER BAZOMBANZA REPRESENTING PRESIDENT ÉVARISTE NDAYISHIMIYE OF THE REPUBLIC OF BURUNDI AND H.E. DR. BARNABA MARIAL BENJAMIN, MINISTER OF PRESIDENTIAL AFFAIRS REPRESENTING PRESIDENT SALVA KIIR MAYARDIT OF THE REPUBLIC OF SOUTH SUDAN, THANKED THE CHAIRPERSON OF THE SUMMIT, PRESIDENT UHURU KENYATTA OF THE REPUBLIC OF KENYA FOR SUCCESFULY CONVENING THE 19TH EXTRA- ORDINARY SUMMIT.

DONE VIRTUALLY, THIS 29TH DAY OF MARCH, 2022.

source : COMMUNIQUÉ OF THE 19TH EXTRA-ORDINARY SUMMIT OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY HEADS OF STATE
 
10 March 2022

Lubumbashi, Haut - Katanga Province
DR Congo

Highway Nightmare: DR Congo's export route for high-value metals

The Democratic Republic of the Congo is the world's leading producer of cobalt and the biggest African producer of copper. For the thousands of truck drivers who transport these goods from the mines of Haut-Katanga to the Tanzanian port of Dar es Salaam, the road promises to be difficult and costly. Drivers deplore repeated thefts, recurring traffic jams and exorbitant tolls
Source : The EastAfrican
 
Tanzania bado tuna Jeuri

Kongo aridhi kibao kubwa kuliko yetu na Raslimali kibao kuliko Sisi ila kila utakapokanyaga mabomu na risasi za waasi zinarimdima kila kona

Sisi usalama na amani uko juu kuliko nchi yeyote ya EAC

Nenda kachukue ma hekari maelfu ya ma aridhi kongo hata bure uone mziki wake utaichukua at your own risk .Serikali haiwezi guarantee usalama wako dhidi ya Askari waasi walenga shabaha juu ya kichwa cha yeyote kikiwemo chako
Mmmmmm i like this oh c'mon🤓
 
Binafsi nimependa sana hili jambo. Kwa muda mrefu Tz amekuwa mkwamishaji mkubwa wa mipango ya EAC akijivunia wingi wa watu na ukubwa wa ardhi.

Siku zote akidai memba wengine wanataka kunyakua ardhi yake. Amekuja DRC ambaye ana ardhi nzuri kuliko TZ na kubwa kuliko memba wengine wote wakiwekwa pamoja. Wana idadi kubwa ya watu na rasilimali nyingi sana. Tanzania siyo darling tena wa EAC.

Wewe unaonaje ujio wa DRC kwenye EAC?

Wakati Burundi na Rwanda wanaomba kujiunga na EAC, rais Moi alitoa angalizo, kwamba tunaweza kuwaalika wanachama wapya kwa ajili ya kuleta maendeleo, lkn kumbe tuna import chaos. Halijatokea sana kwa hizi nchi wanachama wapya za Burundi na Rwanda, lkn kwa Sudan Kusin tunashuhudia mivutano isiyokoma. Sasa jumuiya badala ya kupanga mipango ya maendeleo inajikita zaidi katika kutatua migogoroya nchi wanachama. Tunaombea hilo lisitokee kwa DRC.
 
Huyu siyo mgonjwa, huyu ni tajiri ambaye ameshindwa kuutumia utajiri wake vizuri. Sasa amekaribisha wengine kushiriki.
Congo haitakuja kuwa na amani kamwe ,nasema haitakuja itokee iwe na amani kamwe!!!

Sababu ni hii,NI nchi pekee duniani ambayo ni tajiri namba moja duniani kuliko nchi yeyote duniani,utajiri uliopo Congo haupo duniani kokote ni Kongo pekee,utajiri uliopo Kongo unaweza kuwatunza binadamu wote duniani kwa miaka 10 ,bila kiumbe yeyote kufanya kazi ,hapo ni kula na kulala binadamu wote duniani !! Thus why nasema Congo haitakuja kuwa na amani kamwe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ardhi kubwa na rasilimali nyingi za DRC zimesaidia nini uko kwao hadi sasa?
 
Congo haitakuja kuwa na amani kamwe ,nasema haitakuja itokee iwe na amani kamwe!!!

Sababu ni hii,NI nchi pekee duniani ambayo ni tajiri namba moja duniani kuliko nchi yeyote duniani,utajiri uliopo Congo haupo duniani kokote ni Kongo pekee,utajiri uliopo Kongo unaweza kuwatunza binadamu wote duniani kwa miaka 10 ,bila kiumbe yeyote kufanya kazi ,hapo ni kula na kulala binadamu wote duniani !! Thus why nasema Congo haitakuja kuwa na amani kamwe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Congo ina rasilimali gani ya kuwa Tajiri kuliko nchi zote?
 
Tanzania bado tuna Jeuri

Kongo aridhi kibao kubwa kuliko yetu na Raslimali kibao kuliko Sisi ila kila utakapokanyaga mabomu na risasi za waasi zinarimdima kila kona

Sisi usalama na amani uko juu kuliko nchi yeyote ya EAC

Nenda kachukue ma hekari maelfu ya ma aridhi kongo hata bure uone mziki wake utaichukua at your own risk .Serikali haiwezi guarantee usalama wako dhidi ya Askari waasi walenga shabaha juu ya kichwa cha yeyote kikiwemo chako

Halafu DRC ni shamba la bibi!! Huko Kuna kina mseven, kagame wanajivunia tu Mali asili!! Wazungu ndo usiseme, wako huko kwa Jina la umoja wa mataifa lakini wanajichotea Mali watakavyo! Kwa hiyo ukubwa wa ardhi ya DRC hauna faida kwao!!
 
Asilimia kubwa ya wakimbizi wa DRC walitokea kipindi cha First na second Congo war. Hawa wa sasa ni waporaji tu wanaovizia porini. Na wengine ni wapiganaji wa kikabila, kama ilivyo wafugaji na wakulima huku. Sehemu kubwa ya DRC maisha ni poa sana. kuna wachina kibao wako maporini wanachimba dhahabu huko.
Unahisi wanalima tu wenyewe bila kuwa na local alliances?
 
Congo haitakuja kuwa na amani kamwe ,nasema haitakuja itokee iwe na amani kamwe!!!

Sababu ni hii,NI nchi pekee duniani ambayo ni tajiri namba moja duniani kuliko nchi yeyote duniani,utajiri uliopo Congo haupo duniani kokote ni Kongo pekee,utajiri uliopo Kongo unaweza kuwatunza binadamu wote duniani kwa miaka 10 ,bila kiumbe yeyote kufanya kazi ,hapo ni kula na kulala binadamu wote duniani !! Thus why nasema Congo haitakuja kuwa na amani kamwe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaituliza mkuu. Trust me.
 
Back
Top Bottom