Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi kujiuliza ni kwanini kwenye kila msimu wa Uchaguzi uchumi wa Kenya unashuka?Unafikiri wawekezaji wanaogopa vita. Ndiyo kwanza wanakula na hao wababe wa kivita. Na pia si DRC yote ina vita. DRC ni kubwa kuliko EAC kabla haijajiunga. Sehemu nyingi ni salama. Kiburi cha wakwamishaji kimefika mwisho.
Asilimia kubwa ya wakimbizi wa DRC walitokea kipindi cha First na second Congo war. Hawa wa sasa ni waporaji tu wanaovizia porini. Na wengine ni wapiganaji wa kikabila, kama ilivyo wafugaji na wakulima huku. Sehemu kubwa ya DRC maisha ni poa sana. kuna wachina kibao wako maporini wanachimba dhahabu huko.Hao unaowaita wewe wanyang'anyi ndio wameifanya kuwa na idadi kubwa ya wakimbizi kwenye eneo la maziwa makuu.
Na ndio hao wanaohatarisha hata shughuli za kiuchumi na kibiashara huko (rejea kutekwa kwa madereva wa malori).
Ndio hao hao wanaohusika na vitendo vya ubakaji na mauaji kwa raia huko kwenye eneo la Drc mashariki.
Kama unaona hilo ni tatizo 'dogo' tu, Sawa.
Wakamege tu mradi watenge pesa za kufukua mabomu kwenye ardhi ya kongo Ardhi Yao iko kama ya Msumbiji na south Sudan kuna mabomu mengi sana ardhini .Waweza nyanyua jembe kulima ukishusha chini unakuta kuna kitu umegonga kama chuma kumbe bomu la ardhini lililotegwa na Askari waasi au Serikali wakipigana
Ndani ya muda mfupi hii ardhi mnajivunia itakuwa haina thamani yoyote. Uwekezaji wa maana ukifanyika kwenye ardhi ya DRC utashusha kila kitu kuanzia sukari, mafuta(inafaa sana kwa mawese) mchele na kila kitu. Sasa utalima nini kwenye hizi savanna zetu wakati mazao bwerere yanatoka DRC?
Pointi ni kwamba DRC itaneutralize Kenya vs Tz sibling rivarlyBinafsi nimependa sana hili jambo. Kwa muda mrefu Tz amekuwa mkwamishaji mkubwa wa mipango ya EAC akijivunia wingi wa watu na ukubwa wa ardhi.
Siku zote akidai memba wengine wanataka kunyakua ardhi yake. Amekuja DRC ambaye ana ardhi nzuri kuliko TZ na kubwa kuliko memba wengine wote wakiwekwa pamoja. Wana idadi kubwa ya watu na rasilimali nyingi sana. Tanzania siyo darling tena wa EAC.
Wewe unaonaje ujio wa DRC kwenye EAC?
Pambaneni na njaa mkiishinda ndo mje huku kwingineko. Mnajiita mko uchumi wa kati lakini mnakufa kila siku kwa njaa mliyoshindwa kuidhibiti miaka nenda rudi. Mkiiweza njaa hata raslimali za Congo mtaweza kuzitumia ipasavyoCongo kuna waasi gani wa maana? Wale ni bandits tu wanaotafuta ugali.
Jumuiya ya Afrika Mashariki itapunguza sana migogoro ya Congo, maana kutakuwa na interest za moja kwa moja za kuleta amani maeneo ya mashariki ya Kongo ambayo ndio yenye migogoro na ndio yenye kunufaika moja kwa moja na Afrika Mashariki tena wanazungumza kiswahiliTanzania bado tuna Jeuri
Kongo aridhi kibao kubwa kuliko yetu na Raslimali kibao kuliko Sisi ila kila utakapokanyaga mabomu na risasi za waasi zinarimdima kila kona
Sisi usalama na amani uko juu kuliko nchi yeyote ya EAC
Nenda kachukue ma hekari maelfu ya ma aridhi kongo hata bure uone mziki wake utaichukua at your own risk .Serikali haiwezi guarantee usalama wako dhidi ya Askari waasi walenga shabaha juu ya kichwa cha yeyote ikiwemo chako
Huwezi amini hii Afrika Mashariki ndio tiba ya migogoro ya mashariki ya congoDRC mwenye matatizo lukuki ni sawa na kumsajili mgonjwa kwenye kikosi cha kwanza yeye kila siku ataonyesha ED ya daktari
Hata Lubumbashi wanaongea Kiswahili vizuriHuwezi amini hii Afrika Mashariki ndio tiba ya migogoro ya mashariki ya congo
Kumbuka Mashariki ya Congo wanaongea kiswahili na ndio wanufaika wa moja kwa moja wa afrika Mashariki kuliko ile Kongo ya kinshasa
Sasa kuna interest ya moja kwa moja ya mashariki ya Kongo kuwa na amani kwa manufaa ya Afrika mashariki
Binafsi nimependa sana hili jambo. Kwa muda mrefu Tz amekuwa mkwamishaji mkubwa wa mipango ya EAC akijivunia wingi wa watu na ukubwa wa ardhi.
Siku zote akidai memba wengine wanataka kunyakua ardhi yake. Amekuja DRC ambaye ana ardhi nzuri kuliko TZ na kubwa kuliko memba wengine wote wakiwekwa pamoja. Wana idadi kubwa ya watu na rasilimali nyingi sana. Tanzania siyo darling tena wa EAC.
Wewe unaonaje ujio wa DRC kwenye EAC?
Vita DRC ilishakwisha miaka mingi. Wapo tu wanyang'anyi na mapigano ya kikabila. Kama huku wafugaji wanavyopigana na wakulima.Tz haina vita kama DRC usijisahaulishe tafadhali
Kwa hiyo Tanzania wameweza kuutumia utajiri wao vizuri?Huyu siyo mgonjwa, huyu ni tajiri ambaye ameshindwa kuutumia utajiri wake vizuri. Sasa amekaribisha wengine kushiriki.
Ipo kule Matadi magharibi mwa Congo DR kutokea bahari ya Atlantic.Hapana, nifahamishe mkuu. Bandari Yao inaitwaje?
Kwenye hii jumuiya kuna kura ya veto au ndio viroba vimerudi tena.Njaa tu imewashinda kuidhibiti huko kwenu Kenya, sasa mtaweza kupambana na hao waasi wa Congo?.
Pia Alshaab wanawapapasa wajisikiavyo, sasa hiyo nguvu ya kuwekeza Congo huku mkipambana na waasi inatoka wapi?.
Tanzania ndio nchi pekee inayoamua EAC iwepo au isiwepo maana ina kura ya Veto. Hivyo bado wote mnaitegemea Tz kwa kila kitu ili kudumisha uwepo wa EAC. Mengine ni maneno tu
Watanzania washamba sana. Kila kitu ni siasa na maneno matupuAko na majirani wenye gubu na kisununu sana. Kumfikia Kwa uhakika na urahisi lazima upite TZ. Na pia hizo rasilimali kuzivusha nje Kwa usalama, uhakika na urahisi pia ni lazima upite TZ.
Tuchape kazi tuache kiburi Sasa tuchangamkie fursa.
Pale Kuna, uchochoro/mwalo... Sio bandari ya nchi kubwa kama Congo kujipigia kifua. Ndio maana Kwa upande wa kule wanategemea bandari ya Angola zaidi kuliko ya kwao.Ipo kule Matadi magharibi mwa Congo DR kutokea bahari ya Atlantic.
Siasa ndio maisha.Watanzania washamba sana. Kila kitu ni siasa na maneno matupu
hawa jamaa ardhi yao wanailinda kama tunavyolinda yetu. lakini pia halina utulivu nani ataenda kuwekeza huko??!!. hatakuwa na say kuizidi tanzania au kenyaLakini inapotential kubwa. Itakuwa na say kubwa sana jinsi mambo ya EAC yanavyoenda. Ina ardhi kubwa, watu wengi na rasilimali nyingi. Ikisema ikikataa kitu impact yake ni kubwa, kama ambavyo Tanzania ilikuwa. Akikubali ushirika wa ardhi kwa members wa EAC, hata Tz akikataa hakutakuwa na madhara, zaidizaidi ni Tz ndiye atapata hasara.