Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Unafikiri wawekezaji wanaogopa vita. Ndiyo kwanza wanakula na hao wababe wa kivita. Na pia si DRC yote ina vita. DRC ni kubwa kuliko EAC kabla haijajiunga. Sehemu nyingi ni salama. Kiburi cha wakwamishaji kimefika mwisho.Tanzania bado tuna Jeuri
Kongo aridhi kibao kubwa kuliko yetu na Raslimali kibao kuliko Sisi ila kila utakapokanyaga mabomu na risasi za waasi zinarimdima kila kona
Sisi usalama na amani uko juu kuliko nchi yeyote ya EAC
Nenda kachukue ma hekari maelfu ya maradhi kongo hata bure uone mziki wake utaichukua at your own risk .Serikali haiwezi guarantee usalama wako dhidi ya Askari waasi walenga shabaha juu ya kichwa cha yeyote ikiwemo chako
Huyu siyo mgonjwa, huyu ni tajiri ambaye ameshindwa kuutumia utajiri wake vizuri. Sasa amekaribisha wengine kushiriki.DRC mwenye matatizo lukuki ni sawa na kumsajili mgonjwa kwenye kikosi cha kwanza yeye kila siku ataonyesha ED ya daktari
Inategemea zinakoenda kama zinaenda Ulaya au Amerika hazipiti TZ.Ako na majirani wenye gubu na kisununu sana. Kumfikia Kwa uhakika na urahisi lazima upite TZ. Na pia hizo rasilimali kuzivusha nje Kwa usalama, uhakika na urahisi pia ni lazima upite TZ.
Tuchape kazi tuache kiburi Sasa tuchangamkie fursa.
Ndio ugonjwa wenyewe.Huyu siyo mgonjwa, huyu ni tajiri ambaye ameshindwa kuutumia utajiri wake vizuri. Sasa amekaribisha wengine kushiriki.
Zitapita wapi? Zote zitakuwa Airlifted?Inategemea zinakoenda kama zinaenda Ulaya au Amerika hazipiti TZ.
Sijasema wanaogopa ,kongo hakuna wawekezaji kuna mabwana wa vita kingereza wanaitwa war lords kama ilivyo SomaliaUnafikiri wawekezaji wanaogopa vita. Ndiyo kwanza wanakula na hao wababe wa kivita. Na pia si DRC yote ina vita. DRC ni kubwa kuliko EAC kabla haijajiunga. Sehemu nyingi ni salama. Kiburi cha wakwamishaji kimefika mwisho.
Sasa mnalalamika si ndiyo ilitakiwa mfurahie ili matatizo yawe yameisha huoni huo ni ujinga kulalamikia mtu unayezan ni kikwazo Kwako huku umepata ukombozi . Tanzania hatutoi mseleleko Kwa mtu yoyote yuleUnafikiri wawekezaji wanaogopa vita. Ndiyo kwanza wanakula na hao wababe wa kivita. Na pia si DRC yote ina vita. DRC ni kubwa kuliko EAC kabla haijajiunga. Sehemu nyingi ni salama. Kiburi cha wakwamishaji kimefika mwisho.
nani kalalamika? Watu tumefurahi we unasema tunalalamika!Sasa mnalalamika si ndiyo ilitakiwa mfurahie ili matatizo yawe yameisha huoni huo ni ujinga kulalamikia mtu unayezan ni kikwazo Kwako huku umepata ukombozi . Tanzania hatutoi mseleleko Kwa mtu yoyote yule
Wamepatikana madaktari. Kenya ana mtaji mkubwa sana, alikuwa anatafuta tu pa kuwekeza.Ndio ugonjwa wenyewe.
Kwani hufahamu kuwa DRC wana bandari?Zitapita wapi? Zote zitakuwa Airlifted?
Hapana, nifahamishe mkuu. Bandari Yao inaitwaje?Kwani hufahamu kuwa DRC wana bandari?
Hao hao War lords wanahitaji investors. Wao wanasupply ulinzi. War Lords kibao wa DRC wamejirasimisha, wana makampuni, na wengine ni wabunge kabisa. Ukiogopa shauri yako na uoga wako wa Ktz. Wakenya wamejaa kupiga biashara South Sudan watz wanakalia kusingizia vita.Sijasema wanaogopa ,kongo hakuna wawekezaji kuna mabwana wa vita kingereza wanaitwa war lords kama ilivyo Somalia
Kama una silaha una recruit kukodi chako unateka vijiji unaanza kuchimba Madini
Askari hao waweza kuwa wanavijiji no ila uwe na kikosi imara kweli kweli sababu anytime war Lord lingine laweza vamia kikosi chako alikaua na kupora mgodi yako mchana kweupe jua linawaka na hakuna Jeshi la Umoja wa Mataifa yaani Monusco wa kukusaidia au Jeshi la kongo kukusaidia
CONGO kuna War Lords sio investors wapo lakini silaha kiunoni
Lakini ukiweza nenda kila la heri sikukatishi tamaa
Matadi.Hapana, nifahamishe mkuu. Bandari Yao inaitwaje?
Uzalendo ni mbinu tu ya watawala kuendelea kuwatawala watu. Haukufaidishi kitu.Inabidi elimu ya uzalendo itolewe darasani!