Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

Kila nikiangalia TBC naona kama wanatania. Akili imegoma kabisa kuamini kama jiwe hayupo duniani. Naona kama maigizo tu.
Dah! Aiseee..nimeumia sana, sana tena sana, ile juzi nilikuwa namchokoza mama watoto anipe mzigo, akaniambia ngoja aingie bafuni mara moja kuandaa mazingira, basi akaenda.. nikasema ngoja niingie insta mara moja wakati namsubiri..

Bwana wee... page zote zina picha ya mkuu na neno la kumuombea heri huko aendako. Sijakaa sawa text ya jamaa yangu wa upinzani ikaingia " mzee wenu ametembea".

Wife kurudi nampa habari anaanza kuangua kilio... mimi huku chini dushe imenyong'onyea kabisa, mpaka leo hatupo sawa ,tuna majonzi makuu!
Apumzike kwa amani mzee wetu,kiongozi bora kabisa.he was like baba to us!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Mie hizi habari zilinikuta nipo sebleni naandika utangulizi wa huu uzi. Ile naupost tu nikaona notification kutoka kwa member mmoja anasema nisitishe hii stori kwa sasa tuomboleze kwanza kifo cha Jiwe, nikadhani anatania. Nikareflesh JF na kwenda Jukwaa la siasa na kukutana na breaking news ya kifo cha Jiwe, moyo ukalipuka. Nikawasha TV harakaharaka na kwenda SABC nikakuta ni breaking news ya kifo cha Jiwe. Nguvu zikaniishia, nikawa kama naota dah!
 
Aiseee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipende kutoa rai kwa ndugu yetu konda msafi bro km unahis uko mbele hauta kua na muda ni bora hii stori ukaiacha.
Maana watu wasije anza kuifatilia km ile Khumbu afu michosho ikawa mingi.
Tupo msibani.
Tuendelee kuomboleza.
 
Wewe una muda wa kuandika stori ya miaka 6 mfululizo bila kupumzika au kufanya mambo mengine? Ingekuwa kuandika stori ndio kazi yangu inayoniweka mjini ungekuwa na uhalali wa kusema hayo unayosema.
 
Kwahiyo misiba isipoisha na story hatupati...........Maana naskia kuna msururu wa viongozi wapo kwenye list au tutaangalia na umuhimu wao
 
Subiri tumzike rais kwanza mkuu. Stori inakuja.
 
Mambo ya kukung'uta siafu...au wakati hii itakuwa kukung'uta utitiri? [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom