Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Dah! Aiseee..nimeumia sana, sana tena sana, ile juzi nilikuwa namchokoza mama watoto anipe mzigo, akaniambia ngoja aingie bafuni mara moja kuandaa mazingira, basi akaenda.. nikasema ngoja niingie insta mara moja wakati namsubiri..Kila nikiangalia TBC naona kama wanatania. Akili imegoma kabisa kuamini kama jiwe hayupo duniani. Naona kama maigizo tu.
Bwana wee... page zote zina picha ya mkuu na neno la kumuombea heri huko aendako. Sijakaa sawa text ya jamaa yangu wa upinzani ikaingia " mzee wenu ametembea".
Wife kurudi nampa habari anaanza kuangua kilio... mimi huku chini dushe imenyong'onyea kabisa, mpaka leo hatupo sawa ,tuna majonzi makuu!
Apumzike kwa amani mzee wetu,kiongozi bora kabisa.he was like baba to us!
Sent using Jamii Forums mobile app