ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Muda si mrefu mtasikia Tumefikia makubaliano ya pande zote mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Benchika kashastuka alikosea, kocha huyu kichwa chake ni kogum mno huwez kumuongoza kama Roberto, anamisimamo flan hv kama jihad kinachofata nikama unayoyasema hapo juu.Muda si mrefu mtasikia Tumefikia makubaliano ya pande zote mbili
KWELI KABISA [emoji16]Muda si mrefu mtasikia Tumefikia makubaliano ya pande zote mbili
NGOJA TUONEBenchika kashastuka alikosea, kocha huyu kichwa chake ni kogum mno huwez kumuongoza kama Roberto, anamisimamo flan hv kama jihad kinachofata nikama unayoyasema hapo juu.
NGUVU
Tuko site ngoja tuendelee pambana lolote laja utajutaNGUVU MPYA IPO WAPI
Halafu msela mwenyewe ndo wewe sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣We nae utakuwa chakula cha masela,vi-emoj kibao vya nini?
KWELI MKUU KOCHA MZURI ILA WACHEZAJI ZEROKocha mkubwa timu ya ovyo ya wazee na waswahili.
HUYO NI KIBOKO WA MASHUJAAAmeletwa kiboko ya Yanga
KABAKISHA GEMU YA YANGA ASEPEKwa mifumo ya huyu kocha , hatakagi viungo goigoi kama Chama, ni kocha anahitaji mwendo haswa na manpower kama kina kibul de.
Naona Bado tatzo liko palepale.
Yetu macho
Wamechapia Nyufa Kama tunavyoona mkuuUONGOZI wa Simba unachapia nyufa badala ya KUJENGA ukuta, na hakika safari hii NYUMBA yenyewe imegoma na mafuriko ni mazito kiasi kwamba wakiendelea kukaza SHINGO basi tujiandae na mfuatano wa majanga...
Kufanikiwa kunahitaji kijikana kwakweli, hili linalotokea leo lilikuwa lazima lifike kwasababu klabu zetu zipo kwa ajili ya leo... Simba iko na uwanja Bunju miaka 10 inaenda lakini mpaka muda hakuna hata mtoto mmoja anayetokea pembeni ya uwanja hata wa kujua kudaka na tunaoyeshana Ndoto za mafanikio Afrika...
Haya kutengeneza cha kwetu tumeshindwa, sasa huko kununua nako tunabebana na sagula sagula za mwisho maana hata mtumba nao una grade zake, halafu tukishakusanyana na hayo magalasa tunayapamba kwenye magazeti ili kuhalalisha udhalimu wetu, halafu bila aibu TAJIRI tunamdanganya kuwa tumetumia Bilioni 3 kusajili [emoji1787][emoji1787][emoji1787], lakini ukichukua kalkuleta na peni Kila ukipiga hesabu huziona hizo Bil 3 zimeishia kwa nani?? [emoji23][emoji23][emoji23] Hapo MHINDI tushampiga kwa kumuuzia JUMBA LA UDONGO LILOCHAPWA PLASTA ambalo soon litavimba tu...
Na Sasa ndo limeanza kuvimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana wakati tunamwongezea MHINDI sifuri kwenye hesabu tunasahau kuwa mwisho wa siku yooote yanaishia uwanjani,,,, hapo ndo tunabaki na mazoea kuwa kwa "MKAPA HATOKI MTU" [emoji23][emoji23][emoji23].... huku chini ya VITI tunacheka tu [emoji23][emoji23][emoji23] tunasubiria dirisha dogo....
TUNAONGEA UKWELI MKUU ZIMEBAKI MECHI NGAPI KOCHA AFUKUZWEWe jamaa.unaipenda Sana Simba inabidi tukutafutie Kadi ya uwanachama.
HATARI SANA SIMBA INATITIA KWENYE SHIMO LA HEWAKiungwana kabisaa na kimichezo kuna Viongozi(wale walio mleta Manzoki wakati wa uchaguzi) wangetakiwa hadi muda huu wawe wamekabidhi ofisi kwa faida ya Simba.
Lakini ajabu bado wanashupaza shingo.
Kwanini nasema viongozi kwasababu ndiyo wahusika katika usajili kwa wachezaji na makocha
Kwa hiyo mlimsajili ili aifunge YangaOngelea pia kuhusu matokeo yenu kule Algeria.
Kocha afukuzwe kwa kosa gani, kakuta timu imeshaharibiwa anaweza kujiuzulu lakini sio kutimuliwa.TUNAONGEA UKWELI MKUU ZIMEBAKI MECHI NGAPI KOCHA AFUKUZWE
Robertinho alifukuzwa kwa kosa ganiKocha afukuzwe kwa kosa gani, kakuta timu imeshaharibiwa anaweza kujiuzulu lakini sio kutimuliwa.
Alishalalamikiwa muda mrefu lakini viongozi walikuwa wanamtetea wao wanajali matokeo. Kwa kifupi ametolewa kafala Ila alitakiwa aondoke na kina Mangungu na Try againRobertinho alifukuzwa kwa kosa gani
KWANI ROBERTINHO ALIIHARIBU TIMU?!Kocha afukuzwe kwa kosa gani, kakuta timu imeshaharibiwa anaweza kujiuzulu lakini sio kutimuliwa.
Simba Wana mpira wao ndio maana Robertino alikuwa akilalamikiwa sema timu ilikuwa inapata matokeo na viongozi walikuwa wakiwasapoti.KWANI ROBERTINHO ALIIHARIBU TIMU?!
FUKUZA FUKUZA YA MAKOCHA HUWA NI KUWAZUGA MASHABIKI TU
Sasa kwa menendo huu mbovu wa Simba sc analalamikiwa nani kocha au wachezaji?!Simba Wana mpira wao ndio maana Robertino alikuwa akilalamikiwa sema timu ilikuwa inapata matokeo na viongozi walikuwa wakiwasapoti.
Mtu yeyote. Mwenye jicho la mpira alikuwa anajua Simba itakuja kipigo cha aibu, bahati mbaya ikawa na mtani.