Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kama watu wanakusanyika kumsikiliza Bi kirembwe wa Giningi ijekuwa TL?Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
So what?IGP anasubiri afike nchini
Kweli chadema tAtizo hawajajua psychology ya watanzaniaHehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Sirro atadhalilika sana kwenye hiliIGP anasubiri afike nchini
Kweli chadema tAtizo hawajajua psychology ya watanzania
Watanzania wa wapi unawaongeleaKweli chadema tAtizo hawajajua psychology ya watanzania
Sheria ni msumeno wasipomkamata tutaasi dhidi ya mahakama zetuSo what?
Sasa unataka wamsikilize nani zaidi ya TL au wamsikilize yule wa chatoHehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Jaribuni kufanya hujuma yoyote muone tutakachowafanya!Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Lissu ni kama comedian hana impactKupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.
Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.
Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.
Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
Jaribuni kufanya hujuma yoyote muone tutakachowafanya!
This time liwalo na liwe, timu ipo timamu kujibu jino kwa jino either direct au indirect.
Kuweni makini Sana huu mwaka, narudia kuweni makini Sana huu mwaka! Tupo mlipo, tuna info zote, tutajibu "in kind"
Nahofia maisha yake. Nashauri asije maana hapa ni hatari tupu. Watamkamata na kumweka ndani, halafu wanamwekea sumu, corona etc! Naogopa sana!Kupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.