Ujio wa Lissu, Wananchi wabubujikwa na machozi ya Matumaini

Ujio wa Lissu, Wananchi wabubujikwa na machozi ya Matumaini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hakika bado wapo Watanzania wanaoililia nchi yao kutokana na ukweli kwamba hakuna tena viongozi wenye uchungu nao, sasa anapokuja mtu kama Tundu Lissu aliyejidhihirisha wazi kutetea wananchi ni lazima hali kama hizi zijitokeze.

FB_IMG_1674677078612.jpg
 
Watu wote mnaosoma hizi Habari za Lisu, chukueni dakika moja tu fumba macho fikiria risasi moja tu iliyopigwa na askari, ikakupata, ikaingia mwilini, ukapelekwa hosipitali na Leo hii ni mzima na unatembea. ACHA MUNGU AITWE MUNGU NA INAWEZEKANA KUNA KUSUDI LA MUNGU. AMANI KWA WOTE ALHAMISI HII
 
Shangilieni,lieni tani yenu, ila jueni kibuyu cha asali kinamsubiri.
 
Watu wote mnaosoma hizi Habari za Lisu, chukueni dakika moja tu fumba macho fikiria risasi moja tu iliyopigwa na askari, ikakupata, ikaingia mwilini, ukapelekwa hosipitali na Leo hii ni mzima na unatembea. ACHA MUNGU AITWE MUNGU NA INAWEZEKANA KUNA KUSUDI LA MUNGU. AMANI KWA WOTE ALHAMISI HII
Hivi Lissu amefikiria kwa nini Mungu kampitisha kwenye mtihani huo yeye na si mwengine?
 
Back
Top Bottom