Ujio wa Lissu, Wananchi wabubujikwa na machozi ya Matumaini

Ujio wa Lissu, Wananchi wabubujikwa na machozi ya Matumaini

Siku Lissu anapigwa Risasi, nilikuomba Mungu ulinde kichwa chake tu tubaki na brain yake, asante Mungu Kwa ukuu wako na kujibu maombi ya wengi.
Haya maombi ungeyaelekeza kwa baba yako mzazi ingekua poa Sana. Siasa imekufanya uabudu watu usiowajua
 
Kwa hiyo ukipigwa risasi nyingi ndio unakuwa umefuzu shahada ya uraisi Tanzania??

Kwamba nchi kubwa kama hii,apewe mtu ambae hata akili yake bado inaonyesha majeruhi??
Ila kweli Lissu hayupo sawa ila ni ngumu sana watu kulikubali hili.
 
Wanalia tu, hivi huko Urusi wanaliaje?
Nchi iko na amani
Hakuna matata
 
FB_IMG_1674677130944.jpg
 
Back
Top Bottom