Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Kibuyu!
Kimefanyaje?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibuyu!
Kuna matukio yakikutokea inakuwa muda mzuri wa kumkumbuka Mungu na kurudi kwake.Lissu ni muujiza unaotembea. Risasi 16 sio mchezo.
Acha watu walie kwa furaha kumshukuru mwenyezi Mungu muweza wa yote
Wamemwandalia!Kimefanyaje?!
Wewe na mimi na wengine wote kwanza tujiulize harafu tufikirie Yale Maumivu alivyokuwa anapata baada ya ganzi kuisha na baada ya hapo. Niliwahi Pata mateso ya vidole vya mguu wa kushoto vilikatwa na kitu kikali mno bila mm kutegemea wala kujua. Hakika pamoja na kuwa 62yrs kwa wakati huo lakini machozi yalikuwa yanatoka sababu ya Maumivu nayo Pata. Mungu mwema wakati wote. AmeenHivi Lissu amefikiria kwa nini Mungu kampitisha kwenye mtihani huo yeye na si mwengine?
mbona umeandika kwa lugha ya mbeberu,sisi wa huku gambush hatuelewiCHADEMA is not even a shadow of it's former self.
na chawa wa mamaKapangwa huyo
Kapangwa huyo
Kwa hiyo ukipigwa risasi nyingi ndio unakuwa umefuzu shahada ya uraisi Tanzania??Watu wote mnaosoma hizi Habari za Lisu, chukueni dakika moja tu fumba macho fikiria risasi moja tu iliyopigwa na askari, ikakupata, ikaingia mwilini, ukapelekwa hosipitali na Leo hii ni mzima na unatembea. ACHA MUNGU AITWE MUNGU NA INAWEZEKANA KUNA KUSUDI LA MUNGU. AMANI KWA WOTE ALHAMISI HII
Njaa tu inawasumbuaTopic ni wananchi kububujikwa na machozi
Wamelipwa hao
Sasa mimi nauliza sababu ya Mungu kumpitisha yeye mateso hayo, je Lissu ametafakari hilo?Wewe na mimi na wengine wote kwanza tujiulize harafu tufikirie Yale Maumivu alivyokuwa anapata baada ya ganzi kuisha na baada ya hapo. Niliwahi Pata mateso ya vidole vya mguu wa kushoto vilikatwa na kitu kikali mno bila mm kutegemea wala kujua. Hakika pamoja na kuwa 62yrs kwa wakati huo lakini machozi yalikuwa yanatoka sababu ya Maumivu nayo Pata. Mungu mwema wakati wote. Ameen
Yule alilipwa na wazuri hawafi kuchafua msibaKama yule aliezimia kweny msiba wa JPM lkn bado alikua kang'ang'ania kamfuko kake mkonon 🤣🤣🤣🤣
Huyu hapaKama yule aliezimia kweny msiba wa JPM lkn bado alikua kang'ang'ania kamfuko kake mkonon [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu usanii wa kupanga watu wa kulia umefeli mno
Huzo ndio akili za watu wa chadema. Wnagekua USA wangetaka pia 50 cent awe raisi, kisa tu akipigwa risasi akaponaKwa hiyo ukipigwa risasi nyingi ndio unakuwa umefuzu shahada ya uraisi Tanzania??
Kwamba nchi kubwa kama hii,apewe mtu ambae hata akili yake bado inaonyesha majeruhi??