Ujio wa Lissu, Wananchi wabubujikwa na machozi ya Matumaini

Watu wote mnaosoma hizi Habari za Lisu, chukueni dakika moja tu fumba macho fikiria risasi moja tu iliyopigwa na askari, ikakupata, ikaingia mwilini, ukapelekwa hosipitali na Leo hii ni mzima na unatembea. ACHA MUNGU AITWE MUNGU NA INAWEZEKANA KUNA KUSUDI LA MUNGU. AMANI KWA WOTE ALHAMISI HII
 
Shangilieni,lieni tani yenu, ila jueni kibuyu cha asali kinamsubiri.
 
Hivi Lissu amefikiria kwa nini Mungu kampitisha kwenye mtihani huo yeye na si mwengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…