Ujio wa Lissu, Wananchi wabubujikwa na machozi ya Matumaini

Watanzania wengi uelewa hawana, hapo huyo mama ukimuuliza kwa nini analia? au hata kwa nini kaja hapo? unaweza ukashangaa atakavyokujibu maana ndio hao hao walikuwa wanamshitakia Lissu bei za vitu kuwa juu hadi mwenyewe Lissu anajiuliza kama hao watu wanaelewa kwamba yeye hana mamlaka ya kushusha bei?
 
Lissu ni muujiza unaotembea. Risasi 16 sio mchezo.

Acha watu walie kwa furaha kumshukuru mwenyezi Mungu muweza wa yote
Kuna matukio yakikutokea inakuwa muda mzuri wa kumkumbuka Mungu na kurudi kwake.
 
Kama kweli alichangia katika kukamatwa kwa ndege yetu, "Sina hamu nae". Ataendelea kuchangia mengi ili kuturudisha nyuma.
 
Hivi Lissu amefikiria kwa nini Mungu kampitisha kwenye mtihani huo yeye na si mwengine?
Wewe na mimi na wengine wote kwanza tujiulize harafu tufikirie Yale Maumivu alivyokuwa anapata baada ya ganzi kuisha na baada ya hapo. Niliwahi Pata mateso ya vidole vya mguu wa kushoto vilikatwa na kitu kikali mno bila mm kutegemea wala kujua. Hakika pamoja na kuwa 62yrs kwa wakati huo lakini machozi yalikuwa yanatoka sababu ya Maumivu nayo Pata. Mungu mwema wakati wote. Ameen
 
Kwa hiyo ukipigwa risasi nyingi ndio unakuwa umefuzu shahada ya uraisi Tanzania??

Kwamba nchi kubwa kama hii,apewe mtu ambae hata akili yake bado inaonyesha majeruhi??
 
Sasa mimi nauliza sababu ya Mungu kumpitisha yeye mateso hayo, je Lissu ametafakari hilo?
 
Kwa hiyo ukipigwa risasi nyingi ndio unakuwa umefuzu shahada ya uraisi Tanzania??

Kwamba nchi kubwa kama hii,apewe mtu ambae hata akili yake bado inaonyesha majeruhi??
Huzo ndio akili za watu wa chadema. Wnagekua USA wangetaka pia 50 cent awe raisi, kisa tu akipigwa risasi akapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…