Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Waislamu bhana 😂Bandiko lako umelileta kiunafki,,, uislam haumilikiwi na saudia kama ukristo unavyomilikiwa na Vatican,, hakuna mchango wowote unaochangwa msikitini kwenda kwenye sijui jimbo ili uende Vatican, na unachotakiwa kujua hiyo saudia arabia imeikuta hijja kabla hata ya kuwa saudia,, na hakuna tozo ya hija zaidi kulipia ticket yako ya ndege na hoteli utakayolala wewe mwenyewe
Unaipandisha dini yako ya Kiislamu kuwa haimilikiwi na nchi afu hapo hapo unaiponda Ukristo, sasa unadhani mtu mwenye akili timamu atakuelewa?
Ukisikia kutajirisha nchi unaelewa nn?
Kwan hizo pesa za ticket za ndege, hotel utakayolala na kila kitu utakachofanya huko hizo, gharama zinaenda kwa watu wa nchi ipi?