MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ni kama wanaenda kutambika kwa muasisi wa dini
Kuna jiwe wao huenda kuliabudu pale, na kunao hufia hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama wanaenda kutambika kwa muasisi wa dini
Mpaka Mungu anatushangaaMiaka yote walikuwa wana mzunguko mkubwa wakati wa Hijja ambayo ni mara moja kila mwaka.
Ukienda na nauli tu utakuwa hujachangia kitu zaidi ya safari yako.
Ila watu wananunua bidhaa nyingi sana kutoka huko.
Na wana dhahabu nyingi sana kwani walianza kuchimba zaidi ya miaka 5000
Sisi acha tuwaweke wahadzabe kuvutia watalii
Shekhe mungu ndio anavyotaka ujue kiarabu na sio kiswahili maana msahafu ulishushwa kwa lugha ya kiarabu. Na ukishindwa kujua ni bakora tu madrasa.Hata wanaposwali lazima waangalie uarabuni. Hao na wenye dini kwa nini lazima unifunze kiarabu ndo Uwe muislamu.
Yaani wasiweze kwanini? Acha utumwaHaya ni maoni ya mwandishi au ni matokeo ya utafiti?
Haya aliyeleta hapa afanye challenge tena ya uchunguzi wake ,Ikiwa unadhani wanataka kuhamishia uchumi wao utegemee Hijja
Je unayajua matumizi ya siku moja za ile Misikiti miwili Makka & Madina kwa siku moja?
Je hivi unajua kwa hali ya Uchumi wa Kenya ,Uganda na Tanzania kwa pamona tukipewa nafasi ya kuiendesha ile Misikiti miwili hivi unaweza amini kuwa tusingeweza.
Kaongea ukweli ,hija ni biashara ya watu kupiga pesaMtoa mada unaweza Kuta ana familia pia ana wakwe zake wanamuona mtu wa maana dah
Saudia wanaendaga kufanya nini? Uislam umeanzia wapi? Sio Saudia? Hapa duniani, kuna miji 2 tu ambayo kama sio member wa dini hiyo huruhusiwi kuitembelea, tena baadhi ya mitaa kwenye miji hiyo. Mecca na Madina na ipo Saudia, hadi hapo bado unabisha kwamba Saudia sio wamiliki wa dini hiyo?Nchi inayomiliki dini yao?
Nani kakwambia Uislamu unamilikiwa na nchi fulani?
Umeandika ujinga kama sio upumbavu hadi nimesikitika sana
Hv mkiwa Macca mnazunguka na kuabudu yale matofali, sio kuabudu sanamu pale?Waabudu sanamu ndio maana huitwa kondoo hawana wanalolijua
Kuna watu wamewazidi akili wenzao. Hbr ya kwamba Mtume alikuwa kwao ni hadithi tu iliyotungwa na wajanja. Dini ina nguvu kubwa kuliko elimu dunia, Profesa wa chuo kikuu km Musa Assad mchallenge chochote kuhusu uislam na anaamini Kiarabu ni lugha ya mwenyenzi Mungu, huyo ni Profesa unategemea nini kwa wale wa MbagaLa
Huna unacho kijua,ndio maana mnaitwa kondooHv mkiwa Macca mnazunguka na kuabudu yale matofali, sio kuabudu sanamu pale?
Hapa umemaliza ila Kwa kuwa makiristo hayaelewi ni km umempigia mbuzi gitaa tu,Bandiko lako umelileta kiunafki,,, uislam haumilikiwi na saudia kama ukristo unavyomilikiwa na Vatican,, hakuna mchango wowote unaochangwa msikitini kwenda kwenye sijui jimbo ili uende Vatican, na unachotakiwa kujua hiyo saudia arabia imeikuta hijja kabla hata ya kuwa saudia,, na hakuna tozo ya hija zaidi kulipia ticket yako ya ndege na hoteli utakayolala wewe mwenyewe
Kama hujui kitu si unyamaze ujuaji haukusaidii kituHata wanaposwali lazima waangalie uarabuni. Hao na wenye dini kwa nini lazima unifunze kiarabu ndo Uwe muislamu.
Machawa mnamwabudu mwenye CCM yake.sisi tuna CCM inatosha
Hawa ndugu zetu wakitaka kushambulia Ukristo huwa wanadili na Wakatoliki tu.Kama haumilikiwi na Saudia nenda kahiji Serengeti.
Vatican ni makao makuu ya Catholic only.Sasa hapo ukristo unamilikiwa vipi ?.
Inaitwa nyani haoni KUNDULE.Hv mkiwa Macca mnazunguka na kuabudu yale matofali, sio kuabudu sanamu pale?