Ujio wa magari ya gesi na umeme yameifanya Saudi Arabia wafocus mapato ya Hija . Waislamu wanaitajirisha nchi inayomiliki dini yao

Ujio wa magari ya gesi na umeme yameifanya Saudi Arabia wafocus mapato ya Hija . Waislamu wanaitajirisha nchi inayomiliki dini yao

Bandiko lako umelileta kiunafki,,, uislam haumilikiwi na saudia kama ukristo unavyomilikiwa na Vatican,, hakuna mchango wowote unaochangwa msikitini kwenda kwenye sijui jimbo ili uende saudia, na unachotakiwa kujua hiyo saudia arabia imeikuta hijja kabla hata ya kuwa saudia,, na hakuna tozo ya hija zaidi kulipia ticket yako ya ndege na hoteli utakayolala wewe mwenyewe
Maca na Madina zipo chini ya umiliki wa familia moja ya Saudi
 
Waislamu bhana 😂

Unaipandisha dini yako ya Kiislamu kuwa haimilikiwi na nchi afu hapo hapo unaiponda Ukristo, sasa unadhani mtu mwenye akili timamu atakuelewa?

Ukisikia kutajirisha nchi unaelewa nn?
Kwan hizo pesa za ticket za ndege, hotel utakayolala na kila kitu utakachofanya huko hizo, gharama zinaenda kwa watu wa nchi ipi?
GIBRILI HUJA JIONI JIONI KIGIZA CHA USONI NA KIGARI CHA FARASI MWENYE MBAWA KUZICHUKUA PEPONI KWA AJILI YA KUUTUNZA UISLAM.
 
Unajua saudi arabia ameinvest kiasi gani ulaya na marekani?
Umajua kwamba kiwanja cha ndege kikubwa ulaya heathrow wanakimiliki wao?
Mwaka huu ukiacha miaka iliyopita trump ameiomba saudi arabia kuinvest usd trillion 100 wewe kwa akili yako unajua mafuta na hija tu,go to school
 
Unaelewa maana ya pato la taifa ?

Unajua kwa nini wanasema kilimo kinachangia pato la taifa kwa mchango mkubwa lakini huwezi sikia kodi za nyumba za NHC zinatajwa tajwa maana mchango wake ni hafifu kulinganisha na kilimo
Unajua saudi arabia ameinvest kiasi gani ulaya na marekani?
Umajua kwamba kiwanja cha ndege kikubwa ulaya heathrow wanakimiliki wao?
Mwaka huu ukiacha miaka iliyopita trump ameiomba saudi arabia kuinvest usd trillion 100 wewe kwa akili yako unajua mafuta na hija tu,go to school
 
Shekhe mungu ndio anavyotaka ujue kiarabu na sio kiswahili maana msahafu ulishushwa kwa lugha ya kiarabu. Na ukishindwa kujua ni bakora tu madrasa.
Ndio Mkuu na wala hili halishangazi hata kidogo, Unge comment tofauti na hivi ndio ingebidi ishangaze , Maana ingeonesha unafikiri sawasawa jambo ambalo sivyo ilivyo.
 
Back
Top Bottom