Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tuna kila kitu ambacho hao Saudia ni jangwa tupu lakini wamepambana tangu yamepatikana wakiwa bado masikini wa kutupwa ila akili wakiwa nazo.Mpaka Mungu anatushangaa
Wakasaini mikataba wakiwa na akili
Sisi leo hata mito hatujui thamani yake
Thailand Bangkok kuna floating market nimeiona ambapo wakulima wanauza na kusafirisha matunda na mbogamboga kwenye Mto
Watalii wamejaa hapo
Sisi Mungu anatuona