Ujio wa Makamu wa Rais Kamala Harris nchini Tanzania, mifumo ya ulinzi nchini isiingiliwe na Marekani

Subiri uone ulinzi siku hiyo utakuwa chini ya kina nani? Yaani IGP wetu atapangwa kulinda magari nje ya uzio wa ikulu. Na nina washauri wamerekani wasithubutu kukubali kulindwa na majizi ya kura.
Mimi nitashauri vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuwa bold kwenye hili.
 
Y

Kwa akili yako unahisi hawaijui? 🀣 🀣 Kazi mnayo.
Kwa akili yako umedhani sijui kama hawajui kumbe unajidanganya. Wanaweza kujua lakini experience watakayo ipata kuzurula humo mjengoni na kupiga picha kisirisiri au kwa uwazi ndiko nako kumaanisha sawa ewe mwenye akili?
 
Sio kwa Marekani boss, au unaofananisha ujio wa Makamu wa rais wa Marekani na ujio wa Museveni nini? Hivyo vyombo vyenu vitakuwa bold kwa majizi menzenu ya kura.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umeandika kama vile umeona kitu.
Anyway wameshajiandaa, so hakuna wasichojua.

Tunasaidiwa nao mambo mengi.
akaribie Kamara Haris
 
Subiri uone ulinzi siku hiyo utakuwa chini ya kina nani? Yaani IGP wetu atapangwa kulinda magari nje ya uzio wa ikulu. Na nina washauri wamerekani wasithubutu kukubali kulindwa na majizi ya kura.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora aje puttin kuliko hawa mashoga
 
Kwa akili yako umedhani sijui kama hawajui kumbe unajidanganya. Wanaweza kujua lakini experience watakayo ipata kuzurula humo mjengoni na kupiga picha kisirisiri au kwa uwazi ndiko nako kumaanisha sawa ewe mwenye akili?

Jamaa hawa wa vyombo vya ulinzi na usalama USA hata bila camera, moja ya sifa za wanaoajiriwa ktk vitengo vyao ni uwezo wa kukariri na kuhifadhi kwa usahihi ramani na kila kitu kwa kutumia bongo zao.
 
Sio kwa Marekani boss, au unaofananisha ujio wa Makamu wa rais wa Marekani na ujio wa Museveni nini? Hivyo vyombo vyenu vitakuwa bold kwa majizi menzenu ya kura.
Jiamini,waamini na jenga imani kwa vijana wetu.Zaidi toa ushauri kwao.ondoka katika fikra chafu za ukoloni.
 
Jamaa hawa wa vyombo vya ulinzi na usalama USA hata bila camera, moja ya sifa za wanaoajiriwa ktk vitengo vyao ni uwezo wa kukariri na kuhifadhi kwa usahihi ramani na kila kitu kwa kutumia bongo zao.
ni kizazi cha vijana kama ilivyo kizazi cha vijana wetu...usijiweke kwenye upande wa upweke kamwe....waache vijana wetu waoneshe utofauti.
 
Mwaka 2013 Jakaya Kikwete alikabidhi passwords zote za ikulu kwa JESHI LA BARRACK OBAMA.

Barabara zikapigwa deki na kupuliziwa pafyumu.

FFU wa kitanganyika wakafichwa kotazi.
Hongera sana kwa kuishi vizuri na bibi na babu. Maana wamekufundisha kutunga hadithi zenye fiksi tele halafu unajikausha hivi! Hongera maana Rais mstaafu wakati anakabidhi ulikuwepo naye Ikulu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. # Jengeni utaratibu kuamini nchi yenu inaweza kusimamia ulinzi na usalama wake to the maximum. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Aliyefurahi diplomasia kuzima na kufungwa leo anafurahi diplomasia kukua.πŸ˜…πŸ˜…
Jingalao!
 
Aliyefurahi diplomasia kuzima na kufungwa leo anafurahi diplomasia kukua.πŸ˜…πŸ˜…
Jingalao!
una evidence...au unabwata kwa ku-echo ujinga wa wahuni na wasaliti??
 
Kuna watu hawajui Dunia inavyoenda.
Kama mtu anakupa bajeti yako ya ulinzi anshindwaji ku access mifumo yako? Vifaa vyote updates zinafanyika kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…