Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama.
Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana vyema zaidi.
"Wapumzike kwa amani BWM, JPM na wahanga wote. Ama Kwa hakika wahuni si watu wazuri."
Tulipo sasa ni muda wa kumaliza mchezo. Aandaliwe Lissu kufanya kazi na Polepole. Akili za wawili hawa tunazihitaji sana sasa kuliko wakati wowote.
Polepole habahatishi. Huyu si chigogo@2012. Polepole ni dude! Mungu atupe nini?
Mola awajalie maisha marefu na mafanikio sasa:
"Polepole +TAL, kwenye timu yetu ushindi hata kama watakuwa kwenye vyama tofauti!"