Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama.
Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana.
"Wapumzike kwa amani BWM, JPM na wahanga wote. Wahuni si watu wazuri."
Tulipo sasa ni muda wa kumaliza mchezo. Aandaliwe Lissu kufanya kazi na Polepole. Akili za wawili hawa tunazihitaji sana kuliko wakati wowote.
Polepole habahatishi. Huyu si chigogo@2012. Polepole ni dude!
Mungu atupe nini?
Mola awajalie maisha marefu na mafanikio sasa:
"Polepole+ TAL, kwenye timu yetu ushindi!"
View attachment 3435735
Ngoma ya watoto haikeshi
Tatizo la Bongo uwa tunasubiri mtu aje atupiganie au vionhozi wa upinzani waje wapiganie haki zetu. Tukiwaita barabarani hamtokei basi njooni msituni
# wote tungeingia barabarani tutembee mpka bungeni. Afu wabunge wetu watueleze uwa wanajadil nn umo bungen kam GeNz.
CCM ilipambana na Lyatonga na Lowasa, sembuse huyo sisimizi anayeongelea kajificha chooni kwa Maria Sarungi
Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama.
Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana.
"Wapumzike kwa amani BWM, JPM na wahanga wote. Wahuni si watu wazuri."
Tulipo sasa ni muda wa kumaliza mchezo. Aandaliwe Lissu kufanya kazi na Polepole. Akili za wawili hawa tunazihitaji sana kuliko wakati wowote.
Polepole habahatishi. Huyu si chigogo@2012. Polepole ni dude!
Mungu atupe nini?
Mola awajalie maisha marefu na mafanikio sasa:
"Polepole+ TAL, kwenye timu yetu ushindi!"
.......afunguliwe nani, Baraba au Yesu?.....
Taasisi husika zimeshajibu nani wa kufunguliwa na wa kufungwa.
Siyo CCM ninao wakiwa.Kwa Imani kuu ya watumishi akiwamo Polepole TAL ataachiliwa na atakuwapo mezani:
TAL Kwa niaba ya CHADEMA na Polepole Kwa niaba ya CCM.
Wajameni itakuwa Raha, au si Raha?
Siyo CCM ninao wakiwa.
Taifa lingekua la WAKURYA ndio Wana huo usubutu ila sisi wakwere, zaramo, wamatumbi na kina sisi nduhu taabuuu hatuwezi/ Hawawezi...Tatizo la Bongo uwa tunasubiri mtu aje atupiganie au vionhozi wa upinzani waje wapiganie haki zetu. Tukiwaita barabarani hamtokei basi njooni msituni
# wote tungeingia barabarani tutembee mpka bungeni. Afu wabunge wetu watueleze uwa wanajadil nn umo bungen kam GeNz.
Taifa lingekua la WAKURYA ndio Wana huo usubutu ila sisi wakwere, zaramo, wamatumbi na kina sisi nduhu taabuuu hatuwezi/ Hawawezi...
Hayo maandamano mtatumiwa drones za kivita na kushambuliwa kama mpo ukanda wa Gaza
Mwingine akaulizwa KATIBA NI NINI YEYE AKAJIBU NI KULA NA KUSHIBAA... MWINGINE AKASE NI KIJITABU.
Moto wa pole pole utaaminika kama ni moto endelevu mkuu.Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama.
Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana vyema zaidi.
"Wapumzike kwa amani BWM, JPM na wahanga wote. Ama Kwa hakika wahuni si watu wazuri."
Tulipo sasa ni muda wa kumaliza mchezo. Aandaliwe Lissu kufanya kazi na Polepole. Akili za wawili hawa tunazihitaji sana sasa kuliko wakati wowote.
Polepole habahatishi. Huyu si chigogo@2012. Polepole ni dude! Mungu atupe nini?
Mola awajalie maisha marefu na mafanikio sasa:
"PPolepole +TAL, kwenye timu yetu ushindi hata kama watakuwa kwenye vyama tofauti!"