Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhahahahahahaHesabu ni janga la taifa.
Sidhani kama kuhamisha route ni kitu rahisi kwenye biashara ya mabasi, route utakayohamia unakuta kuna watu wapo miaka nenda rudi hivyo inabidi kupambana nao..Hawawezi kuathirika maana unahamisha tuu route, pia watu wanaongezeka ujue.
Mwisho Kila siku wanaongeza Mabasi mapya
Alijenga sgr 702km kwa miaka mitano,bi ushungi kajenga zaidi ya 1500km miaka mitatuLele jembe lingekaa miaka kumi tu na huu umeme ungekuwa umeshuka acha leo. tunakatwa 2000
Kati ya hao abiria 4,000 huenda robotatu ni chawa wanaosafirishwa bure kwenda na kurudi Morogoro bila kulipa nauli, hii ni hujuma inayofanywa na CCM.Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.
Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.
Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu, madalali, madereva na wamiliki wake wa malori na mabasi.
Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?
Wanaofanya hiyo biashara hawana alama. Ester bus ziko karibia mia, ni za waziri wa chapaaSifanyagi biashara za mabasi
Unazo data mkuu utuwekee hapa?Alijenga sgr 702km kwa miaka mitano,bi ushungi kajenga zaidi ya 1500km miaka mitatu
Tanzania bado ni kubwa sana. Sio kila kitu ni Dar Dodoma.Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.
Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.
Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu, madalali, madereva na wamiliki wake wa malori na mabasi.
Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?
Tanzania bado ni kubwa sana. Sio kila kitu ni Dar Dodoma.Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.
Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.
Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu, madalali, madereva na wamiliki wake wa malori na mabasi.
Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?
Lakini Deep ni Upumbavu na ubinafsi wa hali ya juu.Ngoja utaona hujuma za mtanzania, kwa serikali hii dhaifu, hujuma zitaiua SGR.
serikali ijipange kupambana na wafanya biashara wa mabasi, wakitia mguu kutaka kuhujumu, washughulikiwe.Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.
Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.
Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu, madalali, madereva na wamiliki wake wa malori na mabasi.
Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?
Umeona wapi? Wacha uongo mwamba! Yaani hujaona mafundi wanaoendelea na ujenzi pale mjini?Kipande cha mwanza naona kime simama
AMA kweli hesabu ni janga la Taifa! Ina maana mkuu wewe ukitoka kwenye milioni unaenda trillion? Hiyo mbona ni bilion 18! Kazi kweli kweli!ikibeba abiria hao kwa mwaka ni tirion 18.
Expenses, Maintainance,ikibeba abiria hao kwa mwaka ni tirion 18.