Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

Miongoni mwa mbinu za kisiasa anazotumia mkulu ni mbinu ya "tengua teua" ili kumfanya mtenguliwa kisha kuteuliwa tena awe too loyal kwa mteuaji, hii iko applicable kwa mwana, kaangushwa ili ajifunze baadhi ya mambo, kisha atainuliwa hadi juu akiwa amejirekebisha. Kumtengua direct ingekuwa ni fedheha kuu kwake.
 
Ukiachana jina la Lissu je kuna mtu mwingine nimemtaja hapa? Au na wewe umetumia hisia zaidi kuliko mimi?
Nilipata kuandika humu...
FALSAFA ya maisha yasema;
"UKIDHALILISHA UTADHALILISHWA, UKIUA WATANO WA SITA WAO UTAKUWA WEWE... UKIUA SITA WA SABA WAO UTAKUA WEWE NK. Ikiwa hivyo haitoshi Utalipwa kwa utakachotenda!!"
MAANDIKO: HAKUNA AMPAYE MWANAE NYOKA BADALA YA SAMAKI AU JIWE BADALA YA MKATE!
KAMA' TADINU TUDANU: UTATENDEWA ULICHOTENDA; UKIMZINI BINTI AU MKE WA MTU NA WAKO ATATENDWA VIVYO HIVYO...
 
Kwanini?...kila jinai haikosi mtuhumiwa
Hiyo sentensi imebezi kwenye conspiracy theories kupita kiasi bila kuwa na specifics. "Mwenye mamlaka na nguvu nyingi" anaweza kuwa mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, kamanda wa polisi katika ngazi mbalimballi, mkuu wa jeshi, waziri yeyote, Waziri mkuu, Makamu wa rais au rais mwenyewe. Wewe umetupa jiwe gizani na hivyo kutokuwa na lengo.
 
Mzee wa kura moja natamani asome huu uzi yeye alisema lisu na dreva wake wameekt.
 
View attachment 1517077

Mshana Jr Huenda hukuwa na maana ya inayoonekana katika niliyoonyesha rangi kwani haina mantiki kabisa,
Nakuomba usome hii kitu tafadhali,nilijaribu kuiunda kujaribu kuelezea utuhumiwa wa hii kitu kwa vyombo vya umma!

“The inference is irresistible that it is the government that orchestrated the plan to shoot Lisu. The possibility that political or road thugs are involved is excluded by the reaction the government found itself involved in after the shooting. The subsequent "behaviors" of the Rais, Speaker, IGP/police force and other law enforcement machinery…..,

All bear testimony that the government is involved in the shooting.” In all these circumstances a reasonable common man is perfectly inclined to come to the conclusion that inculpatory behavior by the government after the shooting is incompatible with the innocence of the government and incapable of explanation upon any other hypothesis than that of the involvement of the government.
 
Mtia nia acha kumtetea ngosha mwezako pitia huzi nyuzi utapata jibu..
Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma
Nini maana ya Makonda ‘kuwanyima watu haki ya kuishi’ kunakosemwa na serikali ya Marekani?


Unapata dhambi ya bure kutetea madhalimu.
 
Pascal Mayalla, kwa unavyodhani kwanini hawajachunguza. Hivi angejeruhiwa Mbunge wa Chama tawala na minong'ono ingesema kuwa upinzani umefanya hivo unahisi watuhumiwa wasingekamatwa?

Pili kama una mtetea, nini Sababu ya Marekani kumzuia jamaa kwenda huko?

My advise Vijana tunapopata nafasi kwenye siasa tufanye vitu ambavyo havitakufanya watu wakuombee mabaya kwa Mungu. Alikuwa anafanya kazi kwa misifa hadi kufika mtu unapanga Mipango ya mauaji, utakaji na kuweka watu mahabusu hovyo ili kumfurahisha mkulu. Leo hii huaminiki kuingia Marekani na huaminiki tena kuingia Ulaya. Kwamaana nyingine kama ulikuwa na rafiki huko umeshapoteza. Maombi watu wameomba Mungu amejibu majibu umenyimwa kura. Usubiri ubunge wa Hisani.

Kwa ufupi jamaa na Ole sabaya tunawaombea mabaya sana.kwani wanamajivuno mno.


Hivi yule Ole sabaya angepata Urais nchi hii wapinzani wote si wangekufa na kutendwa mabaya Sana.Ebu cheki kijana ni DC lakini vile.

Vijana mnatuangusha Sana kwa majivuno na tunawaombea mabaya mno.
 
Nimekupata vema thanks Kichuguu
 
TL atapata taabu sana asipobadilika na kusuka mipango yake kisiasa na siyo kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…