Ujio wa wageni Chato ulituletea majanga? Wana usalama hawakuona?

Siku zake zimefika tu bhana acheni maneno kila mtu atakufa tu...
 
Foe national interest inakuwa justified,,tukio halikutarajiwa na haijawahi kutokea kiongozi wa nchi kufia madarakani
What kind of national interest? If at all he was a leader of people, elected by people? Mbona Mkapa na Kikwete tuliambiwa wanaumwa na tukaingioa kwenye maombi?
 
Daah kweli ule ugeni umeleta shida
 
Kusikia kwa kenge ni mpaka damu imtoke masikioni. Tatizo alitaka wote tuwe careless kama yeye. Alichukia watu waliochukuwa tahadhali kwa kuvaa barakoa... "Ni kosa la marehemu, hakutumia condom" - wimbo maarufu.
Aisee!
 
Sahihi kabisa naamini mazoea yanaweza kukuondoa duniani kizembe tu
 
Kati ya hao waliokwenda Chato wangapi wamekufa? Waziri wa Uchina, Museveni, Kenyatta, aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wake, wamekufa? Au waliupeleka ugonjwa wakawaambukiza wenyeji wao wakabaki salama? Umewataja pia Maalim Sefu na Kijazi. Hivi hawa nao walikwenda Chato? Tusiunganishe mambo bila kuwa na uhakika. Yaliyopita si ndwele. Tugange yaliyopo na yajayo. Huu si wakati wa kupoteza muda kujadili mambo yasiyokuwa na tija.
 
Una akili timamu?
 
Una akili timamu?
Narudisha swali kwako. Mada ilisema wageni waliokwenda Chato walipeleka ugonjwa na ikaorodhesha majina ya baadhi ya waliokwenda huko. Mimi nimeuliza wangapi kati ya hao waliokwenda Chato wamekufa? Wewe badala ya kujibu swali unaniuliza kama nina akili timamu. Na mimi nakurudishia swali hilo: Jee zinakutosha?
 
Poleni kwa msiba watanzania wenzangunna wazalendo wote wa nchi yetu.

Tusichukue nagasi kutoa lawama. Maji yamesja mwagika hatuwezi kuyazoa ila kilichobakia ninkumwombea kwa Mungu ailaze roho ya Rais wetu kipenzi peponi, Amen!

Na kikubwa ni kumwombea Makamu wetu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan awe na ujasiri ule ule wa jemedari wetu wa kutekeleza miradi aliyo ianzisha ili tuweze kuvuka na kuingia kwenye uchimi wa kwanza.

Mama Samia watanzania tunakutegemea. Usituangushe Mama!
 
Wewe hitakii mema nchi yetu wewe. Unaleta taharuki bila sababu? Tangu lini mafua yakawa ishio kwa MAGUFULI? Acha kutumika na kina armstadam wewe.
Hahahahha
 
Kama atazikwa baada ( ndani ) ya Siku 14 kukiwa na Uratibu mzuri na wa Kiushirikiano wa Jeshi na Watu wa Usalama hakutokuwa na tatizo lolote lile la Kiusalama na Tukio lote litakamilika vyema na Kimedani kabisa.

Nasi Raia tuendelee kutoa Mawazo yote ili Kuwasaidia Wahusika kwani hata Sisi Msiba unatuhusu hata kama baadhi yetu tuna Visununu vyetu Moyoni dhidi ya Marehemu ( Hayati )
 
Cha msingi msiba usiwe sababu ya mambo mazuri kuharibika au kupotea na kutotokea,wakati mwingine binadamu anafariki kwa wakati sahihi kabisa ili kuongeza jambo zuri au kupunguza jambo baya na litakalo tokea nje ya mambo hayo mawili ni nadharia njama tu kama nadharia nyingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…