Ujio wa wageni Chato ulituletea majanga? Wana usalama hawakuona?


 
Bado alikuja rais wa Ethiopia
 
@atcl safari zao sidhani kama zitadumu za kwenda chato tena
 
Huyu mzee wetu atakuwa ameuawa na mabeberu kwa sababu ya kupinga chanjo zao hadharani,

Ngoja tuone kama hatutammiss kama tulivyomiss JK
hajauwawa na mabeberu bali kwa mizaa yake mwenyewe. Lazima tu take responsbility ya makosa yetu wenyewe badala ya kuwalaum mabeberu kwa uzembe ambao sisi wenyewr tumefanya.
aliji expose sana akiwa chato huku akikemea wanaotumia barakoa.

Mwl J.K.Nyerere aliwahi kusema huwezi maliza matatatizo kwa kuyafumbia macho.

Viongoz wetu walifumbia macho tatizo kwa kuhisi litapotea lenyewe. wamepotea wao.
 
Umekuja na mada ya hisia mfu, kisha unatoa marking scheme ya kusafishia huo utoto wako. Ngiri mkubwa.
Ndio maana nakuambia uwezo wako wa kufikiri na kug'amua mambo ni mdogo sana.
 
pumbaf kabisa mnaaanza kusaka wachawi. Msivo na akili....

Rais si kafa kwa Heart fibrillation jamani ?au!!! mbona mnajichanganya hamkusoma shule nini??? Sasa mnaanza kuwazodoa wageni wa watu na wao huko wamekufa kwani?
 
Mbona uwanja wa ndege, mbuga ya wanyama na mengine mengi ambayo hamkustahili hamlalamikii? Ukilipenda boga penda na ua lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…