Ujio wa Yesu mara 2

Ujio wa Yesu mara 2

kabla Yesu hajazaliwa, maandiko yalikua yameandikwa atakuja mkombozi, mfalme etc...

washika dini wengi na viongozi wa dini walikua wrong na ndo walisababisha auwawe wakamfungulia mashtaka ya kwamba anakufuru anajiita mfalme ,mwana wa mungu, hawakumtarajia kua ndiye,

walidhani atawakomboa kutoka utawala wa Roma kama ilivyokua tafsiri ya akilini mwao,

viongozi wa dini na watu waliojulikana kwa kuishika dini sana ( mfano kwa sasa uwalinganishe na wasabato )
walikua wrong na ndo wakamfungulia mashtaka kua hashiki sabato, anakufuru, anajiita mfalme anaambatana na walevi na mashtaka mengine

na wakadai auawe

wengi waliomsikiliza na kimfuata hawakua watu wa dini walikua wavuvi tuu, watoza ushuru n.k

je saivi una uhakika gani kwamba tafsiri uliyo nayo akilini ndo sahihi ?
 
Dini zao na imani zao haziwaaminishi mambo ya kipumbavu kama haya ya ujio wa Yesu.

Taifa kama China hata hawaamini habari za Yesu na ndio wana maendeleo makubwa.

Halafu unakuta waafrika wengi walio maskini choka mbaya, Ndio wanalishana matango pori ya habari za kipumbavu kuhusu Yesu, Allah, Mungu, Shetani, majini, mapepo, uchawi, mizimu na illusions nyingine nyingi.

They say if you have Jesus you have everything, Africa has him and yet still borrows from China who does not even know him.

Poor Africans!!
Point yako ni tusiamini dini?!
Kuamini au kutokuamin yote ni yale yale Infropreneur
 
Point yako ni tusiamini dini?!
Kuamini au kutokuamin yote ni yale yale Infropreneur
Mimi sikatazi mtu aamini dini.

Na wala sifosi mtu asiamini dini.

Kuamini ni haki yako ya kikatiba kabisa kufanya hivyo.

Hata ukiamua kuamini mawe, milima, mapango, majabali makubwa, makaburi, miti n.k
Huo ni uhuru wako kabisa wa kikatiba kufanya hivyo.

Lakini ukianza kudai kwamba hiyo imani yako ina ukweli lazima uthibitishe, ili tuihakiki.
 
Mbona alishakuja kitambo
Ni sahihi amesha kuja kutokana na maandiko.
Uzuri ni jambo la muda kwa kila mtu neema ya kuijua Biblia itamfikia uchaguzi utabaki kuwa wake aidha akubali aifuate nuru au aikatae aendelee kuishi gizani.
 
Mimi sikatazi mtu aamini dini.

Na wala sifosi mtu asiamini dini.

Kuamini ni haki yako ya kikatiba kabisa kufanya hivyo.

Hata ukiamua kuamini mawe, milima, mapango, majabali makubwa, makaburi, miti n.k
Huo ni uhuru wako kabisa wa kikatiba kufanya hivyo.

Lakini ukianza kudai kwamba hiyo imani yako ina ukweli lazima uthibitishe, ili tuihakiki.
Ila kwenye kuthibiitisha unatilia mkazo a
Mno
 
Mungu ni roho. Hii itakupa macho.
Ujio wa Yesu wa mara 1 walioweza kumjua ni wale walio na maarifa ya kiroho. Hata ujio wa mara 2 njia ni ile ile rafiki, watakaomjua na kumuona ni wale tu wenye maarifa ya kiroho ya yanayomuhusu Mungu.
Tupe mistari ya biblia acha ngonjera wewe.
 
1. Yesu alijulikana kuzaliwa kwake itakuwa wapi, atakavyofanyakazi zake na kuondoka hapa duniani itakuwaje kwake kupitia maandiko (Biblia).

2. Hata ujio wake wa mara ya pili, utakuwa ni ule ule kupitia maandiko. Maandiko yameandika namna atakavyokuja itakuwaje na uzuri kila mmoja atamuona.

3. Changamoto itakayowapata watu wengi ni namna ya kuamini maandiko; maana wapo wanaoamini kutokana na mawazo yao binafsi na sio maandiko.

Hitimisho
Watakaomuona Yesu, watamuona kupitia maandiko na sio kinyume chake. Usidanganyike changamka chap kwa haraka.
Ni sawa na mtu atengeneze movie part 1 imetabiri part 2 afu part 2 inasema part 3 coming soon. ...afu ndo haiji tena...maproducer wamepotea
 
😂😂, mkuu ulikuwaga una view majibizano yangu na huyo jamaa kwenye threads zilizopita nini?
😂😂Nliview afu uliniambiaga Tena kwenye uzi wa "mambo 10 yanathibitisha mungu yupo" kuwa anapenda kupinga ..nlikuwa natumia jina la NonCchalant
Sijui umekumbuka?!
 
😂😂Nliview afu uliniambiaga Tena kwenye uzi wa "mambo 10 yanathibitisha mungu yupo" kuwa anapenda kupinga ..nlikuwa natumia jina la NonCchalant
Sijui umekumbuka?!
Anha sawa kbsaa
Huyo jamaa achana nae tu na wale wenzie usihangaike nao...Wanataka uthibitisho ila ukiwapa njia ya kupata uthibitisho yaani experience hawataki.
Sasa watajua hawajui.
 
Hivi hizo simulizi za kiimani, huwa mnaziweka kwenye uhalisia jwa vigezo gani?

Let say amekuja kuwahukumu wazima na wafu sasa!

Hivi kweli binadamu anaweza kusongeshwa mbinguni akiwa mzima😙!?

Na akirudi, atarudi mwenyewe kavu kavu au atarudi kwa kuzaliwa upya?

Na ratiba zake za kuanza mabaraza ya hukumu, ratiba zake zipoje?

Maswala ya kiroho kuyaweka katika uhalisia wa maisha tuliyopo na kuanza kutetea, huwa mnakosea sana.
Nawe nikuulize, baba yake Adam ni nani?

Na Adam binadamu wa kwanza alitokea wapi?
 
Adamu ni binadamu wa kwanza na aliumbwa. Tayari jibu hilo.
Sasa kama unaamini Adam aliumbwa na Mungu asiyeonekana na akaexist na kuzaa na kuongezeka,

Iweje ushindwe kuamini Mungu huyo aliyemuumba Adam aweza kumnyakua arudi Hali ya kutoonekana duniani kama alivyokuwa mwanzo kabla ya kuumbwa?
 
Sasa kama unaamini Adam aliumbwa na Mungu asiyeonekana na akaexist na kuzaa na kuongezeka,

Iweje ushindwe kuamini Mungu huyo aliyemuumba Adam aweza kumnyakua arudi Hali ya kutoonekana duniani kama alivyokuwa mwanzo kabla ya kuumbwa?
Hilo halina ubishi, inawezekana na upo sahihi.

Mjadala hapa ilikuwa ni namna Yesu atakavyorudi: kuja kuwahukumu 'wazima' na 'wafu', hapo ndiyo kwenye point ya mjadala.

Watu hudhani ama kuyachukua hayo maneno kwa lugha ya picha bila kuyatafakari kujua 'wafu' ni kina nani na 'wazima' ni kina nani.

Hili la kusema kila 'binadamu ataonja mauti' lina nafasi gani kama wengine watahukumiwa wakiwa wazima bila kupitia process za mauti?

Je na wewe unaamini kuwa kiama kitakapotokea, hukumu inaweza kutolewa kwa wazima kabla ya kufa na kufufuka kwanza?

Yaani kama tulivyo hivi, tushitukie Yesu huyu hapa!

Ndiyo maana nikauliza maswali randomly kwa kufuata hayo mawazo ya imani waliyojijengea watu vichwani mwao.

Kwamba atakuja kwa mtindo gani, kwa kuzaliwa tena, atafikia wapi, hayo mabaraza ya hukumu yatafanyikaje, hao wafu watafufuliwa huku wazima wakishuhudia ndiyo hukumu ianze nk.nk.
 
Back
Top Bottom