Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point yako ni tusiamini dini?!Dini zao na imani zao haziwaaminishi mambo ya kipumbavu kama haya ya ujio wa Yesu.
Taifa kama China hata hawaamini habari za Yesu na ndio wana maendeleo makubwa.
Halafu unakuta waafrika wengi walio maskini choka mbaya, Ndio wanalishana matango pori ya habari za kipumbavu kuhusu Yesu, Allah, Mungu, Shetani, majini, mapepo, uchawi, mizimu na illusions nyingine nyingi.
They say if you have Jesus you have everything, Africa has him and yet still borrows from China who does not even know him.
Poor Africans!!
Mimi sikatazi mtu aamini dini.Point yako ni tusiamini dini?!
Kuamini au kutokuamin yote ni yale yale Infropreneur
Ni sahihi amesha kuja kutokana na maandiko.Mbona alishakuja kitambo
Ila kwenye kuthibiitisha unatilia mkazo aMimi sikatazi mtu aamini dini.
Na wala sifosi mtu asiamini dini.
Kuamini ni haki yako ya kikatiba kabisa kufanya hivyo.
Hata ukiamua kuamini mawe, milima, mapango, majabali makubwa, makaburi, miti n.k
Huo ni uhuru wako kabisa wa kikatiba kufanya hivyo.
Lakini ukianza kudai kwamba hiyo imani yako ina ukweli lazima uthibitishe, ili tuihakiki.
Tupe mistari ya biblia acha ngonjera wewe.Mungu ni roho. Hii itakupa macho.
Ujio wa Yesu wa mara 1 walioweza kumjua ni wale walio na maarifa ya kiroho. Hata ujio wa mara 2 njia ni ile ile rafiki, watakaomjua na kumuona ni wale tu wenye maarifa ya kiroho ya yanayomuhusu Mungu.
Ni sawa na mtu atengeneze movie part 1 imetabiri part 2 afu part 2 inasema part 3 coming soon. ...afu ndo haiji tena...maproducer wamepotea1. Yesu alijulikana kuzaliwa kwake itakuwa wapi, atakavyofanyakazi zake na kuondoka hapa duniani itakuwaje kwake kupitia maandiko (Biblia).
2. Hata ujio wake wa mara ya pili, utakuwa ni ule ule kupitia maandiko. Maandiko yameandika namna atakavyokuja itakuwaje na uzuri kila mmoja atamuona.
3. Changamoto itakayowapata watu wengi ni namna ya kuamini maandiko; maana wapo wanaoamini kutokana na mawazo yao binafsi na sio maandiko.
Hitimisho
Watakaomuona Yesu, watamuona kupitia maandiko na sio kinyume chake. Usidanganyike changamka chap kwa haraka.
Umeniita mkuu.
Nmekuitia infroprenuer anayepinga mada zote za diniUmeniita mkuu.
😂😂, mkuu ulikuwaga una view majibizano yangu na huyo jamaa kwenye threads zilizopita nini?Nmekuitia infroprenuer anayepinga mada zote za dini
😂😂Nliview afu uliniambiaga Tena kwenye uzi wa "mambo 10 yanathibitisha mungu yupo" kuwa anapenda kupinga ..nlikuwa natumia jina la NonCchalant😂😂, mkuu ulikuwaga una view majibizano yangu na huyo jamaa kwenye threads zilizopita nini?
Anha sawa kbsaa😂😂Nliview afu uliniambiaga Tena kwenye uzi wa "mambo 10 yanathibitisha mungu yupo" kuwa anapenda kupinga ..nlikuwa natumia jina la NonCchalant
Sijui umekumbuka?!
AiseeeeAnha sawa kbsaa
Huyo jamaa achana nae tu na wale wenzie usihangaike nao...Wanataka uthibitisho ila ukiwapa njia ya kupata uthibitisho yaani experience hawataki.
Sasa watajua hawajui.
Umeandika kama dikteta uchwara!Ifike muafaka maada za dini zipigwe ban hapa JF.. NI kero sana.
Nawe nikuulize, baba yake Adam ni nani?Hivi hizo simulizi za kiimani, huwa mnaziweka kwenye uhalisia jwa vigezo gani?
Let say amekuja kuwahukumu wazima na wafu sasa!
Hivi kweli binadamu anaweza kusongeshwa mbinguni akiwa mzima😙!?
Na akirudi, atarudi mwenyewe kavu kavu au atarudi kwa kuzaliwa upya?
Na ratiba zake za kuanza mabaraza ya hukumu, ratiba zake zipoje?
Maswala ya kiroho kuyaweka katika uhalisia wa maisha tuliyopo na kuanza kutetea, huwa mnakosea sana.
Adamu ni binadamu wa kwanza na aliumbwa. Tayari jibu hilo.Nawe nikuulize, baba yake Adam ni na I?
Na Adam binadamu wa kwanza alimtokea wapi?
Sasa kama unaamini Adam aliumbwa na Mungu asiyeonekana na akaexist na kuzaa na kuongezeka,Adamu ni binadamu wa kwanza na aliumbwa. Tayari jibu hilo.
Hilo halina ubishi, inawezekana na upo sahihi.Sasa kama unaamini Adam aliumbwa na Mungu asiyeonekana na akaexist na kuzaa na kuongezeka,
Iweje ushindwe kuamini Mungu huyo aliyemuumba Adam aweza kumnyakua arudi Hali ya kutoonekana duniani kama alivyokuwa mwanzo kabla ya kuumbwa?