sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa nchini Tanzania kutoka nchi jirani.
ule ulikuwa ni upuuzi wa kiwango cha lami.
Kwa hili nampongeza mama