joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sisi tunataka tuone ushaidi wakati wa kikwete vifaranga vilichomwa, hatutaki porojo tu.
Ushahidi huu hapa, Je ulisikia kelele zozote toka Malawi?, wacheni kusikiliza kelele za wakenya, Kenya nchi Yao imewashinda wanebaki kutupia lawama nchi za jirani kutokana na "failures" zao.
Tony254