Ndege tulizuia kwa ajili ya ujuha wenu wa kujitoa ufahamu kwamba hakuna corona eti jiwe kaiombea imeondoka, mlizuiwa na kila nchi mkawa mnatengwa kama ukoma kote kote, bora sasa hivi mama ameanza kuwarudishia hadhi maana mlikua kama mliopagawa vile.
Nimeona ameweka sheria hakuna Mtanzania anaruhusiwa kutoka nje ya nchi bila chanjo. Kwa utaratibu huo mtaanza kukubalika.
Unakumbuka kipindi hicho mlikua mnakataliwa na majirani wote wakiwemo Zambia, ona hapa mlivyokua mnatia huruma kwenye mpaka wa Zambia