sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwasababu mnalazimisha mahusiano na Tanzania, tuliwaambia Kenya bila Tanzania uchumi hamuwezi kufanya lolote, ona jinsi mnavyojidhalilisha kwa kufurahi hadharani kutokana na uongozi wa nchi isiyokua yako.Huyu mama namuombea sana afanikiwe kwenye jitihada zake, nchi haiwezi kuendeshwa kwa chuki.
Kwa nini hamkuwarudisha na vifaranga wao? Kutetea ukatili ule kunahtaji na wewe uwe na roho ya kikatili kama aliyokuwa nayo Bwana yule toka Chato.Kuna bidhaa nyingi zinateketezwa kwa kuingia nchini bila kufuata utaratibu kulinda maslahi ya nchi.zipo taasisi za serikali zinakagua na kudhibiti mali zote zinazoenda nje au kuingia ndani.udhibiti huu unalinda nchi kutokana na athari za magonjwa kwa wanyama na binadamu.Hakuna nchi duniani hata Marekani unaweza kuruhusiwa kuingiza mnyama hai bila kufuata utaratibu halafu hao wanyama hai wasiteketezwe...udhaifu wa ukaguzi wa mazao na mifugo ndo ulisababisha kuingia kwa mdudu Dumuzi ambaye anashambulia mazao ghalani ambaye mpaka sasa wakulima wanatumia fedha nyingi kumdhibiti.Dumuzi inasemekana aliingia nchini na chakula cha msaada toka nje ya nchi.
Mbona bidhaa bandia zinateketezwa bila kurudishwa zilikotoka, mara ngapi bidhaa bandia zenye thamani ya manilioni ya pesa zimechomwa moto bila kurudishwa zilikotoka?, Mbona vifaranga 12,000 toka Malawi vilichomwa moto kipindi cha Kikwete na hapakua na kelele?Kwa nini hamkuwarudisha na vifaranga wao? Kutetea ukatili ule kunahtaji na wewe uwe na roho ya kikatili kama aliyokuwa nayo Bwana yule toka Chato.
Hahahaha, ona jinsi mnavyochukulia Tanzania Kama nchi yenu, "Mungu ametuondolea", kwani ni rais wenu?, Tanzania rules East and Central Africa, bila Tanzania uchumi wenu lazima usambaratike[emoji23][emoji23][emoji23]Lile jinga lilikuwa linachukia Kenya sana. Mungu si Athumani. Mwenyezi Mungu alituondolea balaa. Sasa urafiki kati ya Kenya na Tanzania unazidi kunoga.
Tuonyeshe clip ya hivyo vifaranga wakati wa kikweteMbona bidhaa bandia zinateketezwa bila kurudishwa zilikotoka, mara ngapi bidhaa bandia zenye thamani ya manilioni ya pesa zimechomwa moto bila kurudishwa zilikotoka?, Mbona vifaranga 12,000 toka Malawi vilichomwa moto kipindi cha Kikwete na hapakua na kelele?
Kazi ya kuviteketeza imefanyika ikishuhudiwa na maofisa wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Wizara ya Mifugo, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na vyombo vingine vya ulinzi na usalama.Uchomaji wa vifaranga ulikuwa ni unyama wa hali ya juu,maana mwenye mzigo aliomba virejeshwe,pia alidai mtaji alikuwa amekopa,ndg yangu hatukusikia LA muazini wala mnadi swala sisi kibangi bangi tukavipiga moto,Kwa ushauri wa mkuu wa mamlaka,its was a shameful deed
Onyesha ni nchi gani ambayo ilishakamata wanyama hai wakiingizwa nchini bila kufuata Sheria na wakarudishwa walikotoka, soma Sheria ya Tanzania yakudhibiti magonjwa ya wanyama inasemaje endapo mtu atakamatwa akiingiza wanyama hai bila kufuata taratibu hukumu yake ni ipi? (Ninakutafutia taarifa ya vifaranga vya Malawi vilivyochomwa)Tuonyeshe clip ya hivyo vifaranga wakati wa kikwete
Sisi tunataka tuone ushaidi wakati wa kikwete vifaranga vilichomwa, hatutaki porojo tu.Onyesha ni nchi gani ambayo ilishakamata wanyama hai wakiingizwa nchini bila kufuata Sheria na wakarudishwa walikotoka, soma Sheria ya Tanzania yakudhibiti magonjwa ya wanyama inasemaje endapo mtu atakamatwa akiingiza wanyama hai bila kufuata taratibu hukumu yake ni ipi?(Ninakutafutia taarifa ya vifaranga vya Malawi vilivyochomwa)
Nafikiri umekalia propaganda zaidi kuliko uhalisia.Hahahaha, ona jinsi mnavyochukulia Tanzania Kama nchi yenu, "Mungu ametuondolea", kwani ni rais wenu?, Tanzania rules East and Central Africa, bila Tanzania uchumi wenu lazima usambaratike[emoji23][emoji23][emoji23]
Nafikiri umekalia propaganda zaidi kuliko uhalisia.
Tunategemeana sana nchi zote za EAC. Hakuna aliye bora kuliko mwingine. Zaidi Kenya wanatuzidi kiuchumi na mengine. Labda kama unafanya ligi za ki communist tu
joto la jiwe leo naona unapigwa na Watanzania wenzako. Unaendelea kumtetea Magu lwa udi na uvumba. HahahahaSisi tunataka tuone ushaidi wakati wa kikwete vifaranga vilichomwa, hatutaki porojo tu.