joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sisi tunataka tuone ushaidi wakati wa kikwete vifaranga vilichomwa, hatutaki porojo tu.
Ninafuatilia wachangiaji wa hii mada sioni sababu ya kupoteza nguvu nyingi[emoji23][emoji23][emoji23]joto la jiwe leo naona unapigwa na Watanzania wenzako. Unaendelea kumtetea Magu lwa udi na uvumba. Hahahaha
Serikali inaendeshwa kwa Sheria na taratibu, Serikali ilishapiga marufuku kuingizwa kwa ndege hai na mayai ili kudhibiti magonjwa1. Kwa nini hakulikemea wakati huo
2. Kwa nini hakuchua hatua kwa hao maafisa waliyovichoma moto vifaranga?
3. Kufikisha ujumbe wake wa kutokukubaliana na hilo kwa nini hakujiudhuru?
Kwahiyo Kama serikali imezuia matumizi ya mirungi lakini Kenya wameruhusu, unaishauri Tanzania turuhusu kwa ajili ya kukuza ujirani mwema?, Wewe unatumia ubongo au makamasi ktk kufikiria?.Nafikiri umekalia propaganda zaidi kuliko uhalisia.
Tunategemeana sana nchi zote za EAC. Hakuna aliye bora kuliko mwingine. Zaidi Kenya wanatuzidi kiuchumi na mengine. Labda kama unafanya ligi za ki communist tu
Kuna tofauti ya kukamatwa na kuchomwa. Acha roho ya kikatili.Kwahiyo Kama serikali imezuia matumizi ya mirungi lakini Kenya wameruhusu, unaishauri Tanzania turuhusu kwa ajili ya kukuza ujirani mwema?, Wewe unatumia ubongo au makamasi ktk kufikiria?.
Serikali ilishapiga marufuku uingizaji wa ndege hai na mayai bila kufuata taratibu. Unataka tuzivunje Sheria zetu wenyewe tulizojiwekea kwa kufurahisha nchi jirani sio?.
Kwanini vifaranga vya nchi zingine vikikamatwa hakuna kelele isipokua ni Kenya pekee?
Punguzeni ujinga, Hawa wakenya ndio wakiongoza dunia kutupakazia kipindi cha Corona, hawana wema sio watu wa kuwasikiliza hawatutakii mema hata kidogo
Vifaranga vyote vya Malawi vilivhomwa na wahusika walipekekwa mahakamani, Je ulisikia kelele zozote toka Malawi?.Kuna tofauti ya kukamatwa na kuchomwa. Acha roho ya kikatili.
Kwa wakenya alifanya kazi nzuri, nyie mkikaribishwa mnakosa adabu, aliwakumbusha nafasi yenu.Lile jinga lilikuwa linachukia Kenya sana. Mungu si Athumani. Mwenyezi Mungu alituondolea balaa. Sasa urafiki kati ya Kenya na Tanzania unazidi kunoga.
Wakenya ni wanyama, hawafai hata kuwasikiliza, aliifanya kazi nzuri Sana kuwadhibiti Hawa wajinga[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wakenya alifanya kazi nzuri, nyie mkikaribishwa mnakosa adabu, aliwakumbusha nafasi yenu.
Kwa hivo ukinifanyia makosa sio makosa kama umeyafanya Kwa mwengine? Halafu hiyo hiyo Malawi si mmekwaruzana Na juu ya mpaka was ziwa la Malawi miaka nenda miaka Rudi? Ama unadhani mimi ni mjinga kama wewe?Vifaranga vyote vya Malawi vilivhomwa na wahusika walipekekwa mahakamani, Je ulisikia kelele zozote toka Malawi?.
Ninyi wakenya ni watu hovyo Sana, kamwe hamuwezi kuekewana na majirani wenu, Tanzania tumezungukwa na nchi 8, ulishasikia Magufuli kukorofishana ni nchi yoyote zaidi ya Kenya?, Kenya mnapakana nchi 5 na hakuna hata Moja ambayo hamjakwaruzana nayo.
Mbona sijaona mahali popote ikisemwa vifaranga zilichomwa?Ninafuatilia wachangiaji wa hii mada sioni sababu ya kupoteza nguvu nyingi[emoji23][emoji23][emoji23]
Tumetofautiana na Malawi kuhusu mipaka, tumepeleka malalamiko yetu katika tume ya usuluhusho wa SADC, watakavyoamua hatuwezi kupinga Kama ninyi wajinga mnavyopinga maamuzi ya mahakama, japo tume ya SADC sio mahakama, lakini hatuwezi kupingaKwa hivo ukinifanyia makosa sio makosa kama umeyafanya Kwa mwengine? Halafu hiyo hiyo Malawi si mmekwaruzana Na juu ya mpaka was ziwa la Malawi miaka nenda miaka Rudi? Ama unadhani mimi ni mjinga kama wewe?
Si ulisema hamna ugomvi na nchi yoyote? Wewe na ichoboy same WhatsApp group. Ubishi bila maarifa.🚮🚮Tumetofautiana na Malawi kuhusu mipaka, tumepeleka malalamiko yetu katika tume ya usuluhusho wa SADC, watakavyoamua hatuwezi kupinga Kama ninyi wajinga mnavyopinga maamuzi ya mahakama, japo tume ya SADC sio mahakama, lakini hatuwezi kupinga
Nimekuambia kuhusu Magufuli kukwaruzana na nchi nyingine zaidi ya Kenya, ninyi mnadai Magufuli alikua anaichukia Kenya, mgogoro na Malawi ulianza enzi ya Nyerere na Banda wa Malawi, katika kipindi cha Magufuli mahusiano Kati ya Malawi na Tanzania ndio yaliongezeka zaidi kuliko wakati wowote ule, punguzeni ujuaji mtachukiwa na majirani wenu wote.Si ulisema hamna ugomvi na nchi yoyote? Wewe na ichoboy same WhatsApp group. Ubishi bila maarifa.[emoji706][emoji706]
Vifaranga vimetaifishwa tu hakuna sehemu pamesemwa vimechomwa moto. Jaribu kutofautisha.Ushahidi huu hapa, Je ulisikia kelele zozote toka Malawi?, wacheni kusikiliza kelele za wakenya, Kenya nchi Yao imewashinda wanebaki kutupia lawama nchi za jirani kutokana na "failures" zao.
Tony254
Hivyo vifaranga vyote viliteketezwa kwa moto. Sheria ya kudhibiti magonjwa ya wanyama ya Tanzania imetamka wazi kwamba "wanyama/ndege wakikatwa wakiingizwa kiholela wateketezwe kwa moto au kuzikwa, lazima tutekeleze Sheria tulizojiwekea, endeleeni kupiga kelele na ujinga wenu, kamwe hamuwezi kutuchagulia jinsi ya kuendesha nchi yetu, kwanini msishirikiane na Ethiopia, Somalia, SSudan na Ugandan?, We don't need you here.Vifaranga vimetaifishwa tu hakuna sehemu pamesemwa vimechomwa moto. Jaribu kutofautisha.
Kwa Magu kuna Clip vifaranga vikichomwa.
Sisi tunataka ushaidi wakati vinapigwa kibiriti na sio ushahidi wa kuvikamata.Hivyo vifaranga vyote viliteketezwa kwa moto. Sheria ya kudhibiti magonjwa ya wanyama ya Tanzania imetamka wazi kwamba "wanyama/ndege wakikatwa wakiingizwa kiholela wateketezwe kwa moto au kuzikwa, lazima tutekeleze Sheria tulizojiwekea, endeleeni kupiga kelele na ujinga wenu, kamwe hamuwezi kutuchagulia jinsi ya kuendesha nchi yetu, kwanini msishirikiane na Ethiopia, Somalia, SSudan na Ugandan?, We don't need you here.
Hatuwajibiki kwa lolote kwenu, tunaweza kufanya lolote na hakuna wa kutuuliza, hata tukiamua kuviruhusu vifaranga toka Malawi lakini vile toka Kenya kuamua kuviteketeza ni uamuzi wetu, nchi yenu inawashinda kuongoza badala yake mnajaribu kuhamija ujinga wenu kwetu, tutaendelea kuvichoma vifaranga vyote toka Kenya mkiviingiza bila kufuata Sheria ya Tanzania.Sisi tunataka ushaidi wakati vinapigwa kibiriti na sio ushahidi wa kuvikamata.
Ukiniambia nikupe ushahidi wakati vimechomwa na Magu ntakuletea clips zake, sisi tunataka na wewe utuonyeshe clips za vifaranga kutoka Malawi vikichomwa ili tuende sawa.
Nimekuambia kuhusu Magufuli kukwaruzana na nchi nyingine zaidi ya Kenya, ninyi mnadai Magufuli alikua anaichukia Kenya, mgogoro na Malawi ulianza enzi ya Nyerere na Banda wa Malawi, katika kipindi cha Magufuli mahusiano Kati ya Malawi na Tanzania ndio yaliongezeka zaidi kuliko wakati wowote ule, punguzeni ujuaji mtachukiwa na majirani wenu wote.