Hajawahi wakandamiza wakenya hata kidogo, alitaka usawa ambao kenya hawautaki, kenya ilizuia fastjet kufanya kazi kenya magu nae akapunguza safari za kq kutoka 10 kwa siku hadi 2 hapohapo kenya wakakubali fastjet iingie, pili kenya ilizuia magari yetu ya kubeba watalii kuingia kenya magu alivyoback fire hapohapo kenya ikaruhusu, kenya ni majambazi ya kiuchumi sio ya kucheka nayo hata kidogoHuyo jamaa alikuwa anatukandamiza sana. Alikuwa na chuki binafsi na Kenya.
Sasahivi mnavuna kila mnachotaka kwa mama, ila fanyeni haraka 2025 tutachagua mwingineWakenya wengi walifurahia kifo chake, alikua amewadhibiti kila eneo.
Kwanini mnampersonalize Magufuli na hilo tukio la kuchoma vifaranga? (hatua halali kabisa kwa mujibu wa sheria)Kila mpaka huwa kuna Animal Quarantine au Animal reception centres
Hapo huhifadhiwa kwa muda maalum na kuchunguzwa na gharama analipa mwenye mali
Hata kama hakuna hizo facilities basi wangetafuta njia zingine
Huu unyama ni kawaida sana hata wakati wa kuwaondoa wafugaji kwenye hifadhi tulisikia ng’ombe walivyotumbukizwa kwenye mito au mabwawa na kuuwawa kwa shaba
Tujaribu kuwa wastaarabu na kufuata taratibu za kiutu na sheria ziwepo atakaezivunja awajibishwe
Wewe utaishi milele?Roho mbaya KAFWA.
Wakenya wote wana roho nyeusi, Nyerere Baba wa Taifa alituasa sana Watanzania tukae mbali na hawa watu, sio wema kabisa kwetu ni watu wa hila, choyo, husda, chuki na wafitini, ni watu wabaya sana.Duuuh sikufikiri Tony kama waweza andika maneno ya namna hii!anyway una uhuru wa kuandika uonacha.
Kwanini mnampersonalize Magufuli na hilo tukio la kuchoma vifaranga? (hatua halali kabisa kwa mujibu wa sheria)
Kwa akili zenu ndogo kama piriton unafikiri Rais ana muda wa kupokea proceedings za kila tukio linalotokea kwenye mipaka ya Tanzania nzima na kuyatolea maamuzi?
Kwamba lipo kisheria na lilishatokea kwenye mipaka yetu na Malawi mlipaswa kumuondoa Magufuli kwenye hilo suala then kama ni malalamiko muyaelekeze kwa waliotunga hiyo sheria lakini kukaa kushupalia na kumshutumu Magufuli kana kwamba ndio aliwasha njiti ya kiberiti au alietoa maelezo vifaranga wachomwe inaonesha mna chuki binafsi na Magufuli
Mimi nalipongeza sana hilo tukio na sheria izidi kufuata mkondo wake ikiwezekana hata wakenya kabisa wapigwe marufuku kuingia Tanzania.
Acheni kutufanya mazuzu, hapo mshamsika maza ni kuchuma tu tz, yaani sasahivi tz inakuwa shamba la bibi la kenya.
Sheria kuhusu kudhibiti mafua ya ndege ilitungwa na mkoloni?Ukisoma comment yangu vizuri utaelewa niko upande wa utu zaidi na sheria za kimataifa
Wala simshambulii Magu bali naandika kwa ninayoyajua kuhusu viumbe wanaoingizwa kwenye mipaka ya nchi
Tumebadili baadhi ya vipengele tu ila sheria nyingi zilitungwa na mzungu na aliziacha
Sasa wewe jadili hoja bila kutukana
Inaonyesha umelelewa na wazazi wanaotukana hata akiwa anakutuma kitu
Umeumizwa kiakili pole sana
Mishipa inakutoka kumtetea baba yako mdogo
Sheria kuhusu kudhibiti mafua ya ndege ilitungwa na mkoloni?
Huyu maza akiwadekeza sana 2025 lazima tujiulizeHadi raha.....
Huyu maza akiwadekeza sana 2025 lazima tujiulize
Sioni maza akituvusha kwa style ile ya mwendazake, uchumi wa kenya utaimarika sana chini ya uongozi wa maza sasa jiulize maza ni mtz lakini uchumi wa ke ndio utapaa.Mnamtuhumu kwenye mengi, mara anawadekeza Wazenji mara Wakenya......
Aidha sijui mumemuona dhaifu au vipi, maana nasoma nyuzi zenu kule kwa siasa duh.
uchumi wakenya bado utaendelea kukua with a friendly tz or without.Sioni maza akituvusha kwa style ile ya mwendazake, uchumi wa kenya utaimarika sana chini ya uongozi wa maza sasa jiulize maza ni mtz lakini uchumi wa ka ndio utapaa.
@Tony254Wakenya wote wana roho nyeusi, Nyerere Baba wa Taifa alituasa sana Watanzania tukae mbali na hawa watu, sio wema kabisa kwetu ni watu wa hila, choyo, husda, chuki na wafitini, ni watu wabaya sana.
Wana chuki kubwa na Magufuli sio kwa sababu alikua na kinyongo dhidi ya Kenya bali alikua Rais bora kwa Tanzania na aliipaisha Tanzania viwango vya juu kabisa kabisa.
Sioni maza akituvusha kwa style ile ya mwendazake, uchumi wa kenya utaimarika sana chini ya uongozi wa maza sasa jiulize maza ni mtz lakini uchumi wa ka ndio utapaa.
Vyovyote vile kenya itanufaika sana kwa tz kuongozwa na samia, Jiwe hakuwadekeza wakenya aliwaminya ipasavyo hadi mlitoa mlioUchumi wetu ulianza kuacha wa kwenu kitambo sana, hatujaanza leo, check hii utajifunza kitu, kwanza kipindi cha mwenda zake ndio tulipaisha balaa.
Vyovyote vile kenya itanufaika sana kwa tz kuongozwa na samia, Jiwe hakuwadekeza wakenya aliwaminya ipasavyo hadi mlitoa mlio
Naongelea kuhusu kenya vs tz, mlizidi kutuona wajinga ndege mzuie kuingia, magari mzuie na angekuwa huyu wa sasa angewaangalia tu, nashukuru magu aliwafundisha kuishi na majiraniJiwe alianza kwa mbwembwe ila alifikia sehemu akatulia baada kukumbana na gharika, alikimbizana na makinikia huku akisema alipwe hela ambayo itampa kila Mtanzania noah, hatimaye akabonyea, akawa anakatiza maofisini akishtukiza shtukiza na kutumbua, akachoka na kuwaacha muendelee mlivyo, akajenga liukuta Mererani akidhani Wakenya ndio huja kuiba bila kujua ni nyie nyie wenyewe ndio huibiana na kuyaleta huku, sasa leo hii naskia licha ya ukuta huo, upigaji umeongezeka.
Uongozi sio one-man show, unapaswa kuzipa taasisi husika mamlaka ya kufanya kazi zao, la sivyo utafyatuka na kuongea ongea kisha ujichokee na hatimaye ukute hamna jipya ulilokuza.
Naongelea kuhusu kenya vs tz, mlizidi kutuona wajinga ndege mzuie kuingia, magari mzuie na angekuwa huyu wa sasa angewaangalia tu, nashukuru magu aliwafundisha kuishi na majirani
Unachanganya madesa mkuu, mlizuia fast jet kuoparate kenya, mkazuia magari ya watalii kuingia kenya eti yaishie namanga kupokea wageni palepale PM akatangaza kupunguza safari za kq kuingia tz, ila angekuwa samia angekaa kimyaNdege tulizuia kwa ajili ya ujuha wenu wa kujitoa ufahamu kwamba hakuna corona eti jiwe kaiombea imeondoka, mlizuiwa na kila nchi mkawa mnatengwa kama ukoma kote kote, bora sasa hivi mama ameanza kuwarudishia hadhi maana mlikua kama mliopagawa vile.
Nimeona ameweka sheria hakuna Mtanzania anaruhusiwa kutoka nje ya nchi bila chanjo. Kwa utaratibu huo mtaanza kukubalika.
Unakumbuka kipindi hicho mlikua mnakataliwa na majirani wote wakiwemo Zambia, ona hapa mlivyokua mnatia huruma kwenye mpaka wa Zambia