Ujirani mwingine ni kero tupu

Kwanini unampa vitu vyako? Leo kaja mtu kuazima panga kwangu, nikamwambia limeazimwa, kanambia si hilo hapo? Nikamjibu aliyeliazima amemtuma mtt kuja kulichukua ndio maana nimekiweka nje.
Kiukweli ni tabia mbaya sana kwa mtu kutokuwa na vipaumbele kwenye items muhimu sana kama panga, fyekeo, nyundo, plaiz nk
 
Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe,imeandikwa
Jirani kama huyo fresh tu,na mimi nikifika kwake asbh sitoki mpaka nile chakula cha usiku ndio narudi kwangu
Hawezi kupika mtu kama huyo atakwambia anatoka kidogo [emoji3]
 
Kumbe bado kuna ujilan WA hiv Sisi huku kwetu ni salam Tu lkn kila MTU na mambo yake hakuna kuazimn vitu huku kama huna kitu utapambn na Hali yako ndani kwako
 
Acha kutoa toa vitu vyako kumpa mtu ambaye hakuhusu.

Utakuja kutoa hadi maisha yako.
 
Wakati wenzio wanajenga masaki,msasani na oysterbay wewe ulikuwa wapi ????ona sasa unakaa sehemu bado mnaazimana viberiti
 
Mlipishe tu, akiazima kizima kikirudi kibovu dai kizima ataacha mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…