Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
- #21
SawaPole sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaPole sana mkuu
Nyumba za kiswahili siwez kuishi bora nitandike godoro chini lkn naishi sehem penye privacyJirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Kweli wanazingua!Kl utakachoomba sema sina ndugu yaani nakula mgahawani jaribu kua mbinafsi kiasi
Jifunze kutofautisha kati ya jirani na chuma ulete ....zakuambiwa changanya na zakwakoJirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Unaonekana una UFALA mwingi sana shtukaJirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Na nitasema tuBado haujasema...
Yeye Ni mchoyoMpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe,imeandikwa
Jirani kama huyo fresh tu,na mimi nikifika kwake asbh sitoki mpaka nile chakula cha usiku ndio narudi kwangu
Na ukimpa harudishiJirani anaeazima kiberiti cha shilingi Mia huo ni uchawi,,,Bora aombe Moto tuu!!
Sijui walitokea kwenye sayari ganiYaan kuna watu hadi unashangaa na kujiuliza walilelewa vp mbona hawajali vitu vya watu kabisa
Awe mkarimu sasa!Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe,imeandikwa