Ujuaji wa Wakenya wageuka kero, watamani upoyoyo wa Watanzania

..... We are all Educated. Hapo ndipo tusi lilipojificha. Ndio maana Mzee Lowasa alisema Education, Education Education
Educated za Nyokweeee. Mungiki, GARISA attacks, Westgate Massacre etc are all from your foolish populated Country.

Dont compare Tanzania with that tribalism territory, we are sure One day they will become refugees in Sumbawanga and Lindi. Time will tell
 
Yaani hili ni tusi kubwa, middle class wa kitanzania anaona ni sifa kuambiwa sisi ni mazuzu!,ngoja niendelee kuangalia hii game ya man utd vs Liverpool, ndio maana tunafungwa hata na Namibia kwenye netball yaani tumekua wa ovyo mno
 
Ukweli unauma,tumekuwa kama Magorila kwa IQ zetu.

Kwenye huu uzi kuna watu wanashindwa hata kuelewa lengo la mleta mada kwa kusema sisi ni "Mapoyoyo".
 
Yaani hili ni tusi kubwa, middle class wa kitanzania anaona ni sifa kuambiwa sisi ni mazuzu!,ngoja niendelee kuangalia hii game ya man utd vs Liverpool, ndio maana tunafungwa hata na Namibia kwenye netball yaani tumekua wa ovyo mno
Mbona na we mwishoni hapo umekubali "sisi ni wa hovyo" ?!
 
Kenya elimu yao imechangamka sana tofauti na kwetu. Hata akili zao zimechangamka kuliko sisi.

Hata ktk suala la kujiamini akisimama mkenya na mbongo utagundua mbabaishaji ni mbongo ila wenzetu wanajiamini sana na ndio maana wapo ktk international organization nyingi nje tofauti na mbongo.

Tulichowazidi kenya ni suala la umoja bila ukabila, ambayo ni tunu tuliyoletewa na mungu kupitia nyerere. Hilo tu ndilo tunalomzidi kenya lakini kiuhalisia sisi ni wajinga sana
 
Acha ujinga Wewe huyu jamaa katu dharau Watanzania hivi uko shule huwa mnakwenda kusomea ujinga.

Ndio maana Kuna Prof alisema "zamani kazi kubwa ilikuwa kufuta ujinga kwa wazee Sasa ujinga unatakiwa kufutwa kwa vijana" Shule za Kata zimefanya watu kuwa wajinga wa kiwango Cha sgr

Lowasa

-Elimu
-Elimu
-Elimu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Kwani Tanzania watu hawaikimbii? Lissu yuko wapi? Lema yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…