Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nn? Unawezaje kuyapata maarifa sahihi kama lugha inayotumika kifundishia huijui.Yaani kuongea kiingereza ndio usomi?
Kama ni miji hii tu nchini Kenya yenye umaskini uliyotopea, basi wako vizuri mno kuliko Tanzania. Hapa Tanzania ni nchi nzima ina hali mbaya kimaishaUmefika maeneo ya Turkana na Garisa wewe ?
Hapana. Huu siyo utani. Watanzania hatuna akili. Muda wote tunaongelea vitu vya kijinga (ngono, mpira na umbea). Weak minds discuss........?Watani wajadi hao...
Umeanza muda mrefu sana hii kitu, nadhani tangu Uhuru.na kingine ni kuwa utawala wetu hauruhusu mtu kuwa jasiri. Unadhoofisha spirits za kujiamini sababu ya mabavu.
Nisome katikati ya mistari. Wewe ndiye mumbavu lkn hujui Kama ni mpumbavu.Mleta mada anahisi labda kasiwa, akili hizi bana!!
Nachukia sana haya matusi ya rejareja, watannzania tutakuwa mbumbumbu mpaka lini?
Nilikuwa najua una akili kumbe ni hovyo kabisa,,Nisome katikati ya mistari. Wewe ndiye mumbavu lkn hujui Kama ni mpumbavu.
Ujinga wa watanzania umetokana na mfumo na aina ya elimu inayotolewa na shule zetu.Kenya Elimu yao imechangamka sana TOFAUTI NA KWETU. Hata akili zao ZIMECHANGAMKA kuliko sisi. Hata ktk suala la kujiamini AKISIMAMA MKENYA NA MBONGO UTAGUNDUA MBABAISHAJI NI MBONGO ILA WENZETU WANAJIAMINI SANA NA NDIO MAANA WAPO KTK international ORGANIZATION NYINGI NJE TOFAUTI NA MBONGO. TULICHOWAZIDI KENYA NI SUALA LA UMOJA BILA UKABILA, AMBAYO NI TUNU TULIYOLETEWA NA MUNGU KUPITIA NYERERE. HILO TU NDILO TUNALOMZIDI KENYA LAKINI KIUHALISIA SISI NI WAJINGA SANA
Inaonekana ukiwa na mawazo tofauti wewe ni mhaini na mhalifuUmeanza muda mrefu sana hii kitu, nadhani tangu Uhuru.
Kambona, Kasangatumbo, Tuntemeke Sanga, ...wakati wa Nyerere.
Wakaja akina Lamwai, Mvungi, Ulimboka, Alphonce Mawazo ......Mkapa na Kkwete.
Wakaja akina Lisu, Sa8, Azory ,na wengine wengi wakati wa jiwe.
Haya yote yanaviza ari na moyo wa kujiamini.
Kwanza wewe ndo mjinga! Wakenya are so much indoctrinated than being educated..Kenya Elimu yao imechangamka sana TOFAUTI NA KWETU. Hata akili zao ZIMECHANGAMKA kuliko sisi. Hata ktk suala la kujiamini AKISIMAMA MKENYA NA MBONGO UTAGUNDUA MBABAISHAJI NI MBONGO ILA WENZETU WANAJIAMINI SANA NA NDIO MAANA WAPO KTK international ORGANIZATION NYINGI NJE TOFAUTI NA MBONGO. TULICHOWAZIDI KENYA NI SUALA LA UMOJA BILA UKABILA, AMBAYO NI TUNU TULIYOLETEWA NA MUNGU KUPITIA NYERERE. HILO TU NDILO TUNALOMZIDI KENYA LAKINI KIUHALISIA SISI NI WAJINGA SANA
Wamesoma wapi? Elimu ya form four unaingia chuo kikuu?
Kwa taarifa yako wakenya wanatamani na wanafuatilia kila kitu kinachoendelea Tanzania na wanatamani na wanaiga kila kitu kuanzia, muziki, siasa , michezo na hata dini. Kwaya za Tanzania zina trend zaidi Kenya kuliko bongo. Wao wana mamidundo yao ya kienyeji kama yule anayegaragata kwenye matope na masuti ya kijaluo ya kijani na nyekundu sijui anaitwa embarambamba?
Mkuu sio kweli kwenye michezo Kenya wametuzidi mbali sana,sana medali lukuki kuzidi sisi na wamekulikana Duniani kutokana na hiyo michezo,hata kwa mpira wa miguu bado wapo mbele yetu.Huko kwenye siasa ndio wametuacha sana.Wamesoma wapi? Elimu ya form four unaingia chuo kikuu?
Kwa taarifa yako wakenya wanatamani na wanafuatilia kila kitu kinachoendelea Tanzania na wanatamani na wanaiga kila kitu kuanzia, muziki, siasa , michezo na hata dini. Kwaya za Tanzania zina trend zaidi Kenya kuliko bongo. Wao wana mamidundo yao ya kienyeji kama yule anayegaragata kwenye matope na masuti ya kijaluo ya kijani na nyekundu sijui anaitwa embarambamba?
Wewe sema hoja yako,sasa unapotikana MTU usiyemujua si unaonekana mjinga ni wewe.Umefika maeneo ya Turkana na Garisa wewe ? Acha upumbavu kusifia majitu yanayo jipendekeza ilahali kwao ni hoi!
Hili swala lilimshinda Nyerere aliendanalo kwa pupa,ni kweli kabisa Mataifa mengi yanayoendelea kiteknolojia ni yale yanayotumia lugha yake angalia Germany,Russia,China,South Korea,North Korea,Irani,uswiz,Norway,Sweden,Finaland,Denmark lugha zao ndio kila kitu.Masomo yanafundishwa kwa lugha zao-yani unakuwa unaelewa vitu kwa undani katika lugha uliuokulia na kwa njia hii wanafunzi ni rahisi kugundua vitu.Elimu ya Msingi iwe kiingereza nchi nzima
Afu ndo mtaona Wakenya ni wepesi kama karatasi
yaani tangu lini "upoyoyo" ukawa wa maana zaidi ya "ujuaji"?View attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses.
Huo ndio ujinga wenyewe. Kenya huwezi ikawafanya hayo wakakubaliWatanzania sio wajinga ila ni watu wa kuchukulia easy tu, na kingine ni kuwa utawala wetu hauruhusu mtu kuwa jasiri. Unadhoofisha spirits za kujiamini sababu ya mabavu.
Its too late kukomaa na Kiswahili zama hiziHili swala lilimshinda Nyerere aliendanalo kwa pupa,ni kweli kabisa Mataifa mengi yanayoendelea kiteknolojia ni yale yanayotumia lugha yake angalia Germany,Russia,China,South Korea,North Korea,Irani,uswiz,Norway,Sweden,Finaland,Denmark lugha zao ndio kila kitu.Masomo yanafundishwa kwa lugha zao-yani unakuwa unaelewa vitu kwa undani katika lugha uliuokulia na kwa njia hii wanafunzi ni rahisi kugundua vitu.
Sasa ukija huku kwetu watoto akiwa na 2yrs-7 yes ndipo anakiwa anaelewa lugha vizuri,hapo katikati unambadilishia tena lugha-halafu utegemee maendeleo??