MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Hao wanao abudu wazungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu zao ina maana kenya wamesoma kuliko canada,usa,ukView attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses
Hiyo ni kauli ya mtu mmoja wala siyo ya Wakenya wote. Na ana uhuru wa kusema kile "anachoona Yeye ni sahihi" hata kama kwa maoni ya wengi siyo kweli.View attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses
Hiyo sio kweli,kenya wizi wa kura ni wa hali ya juu sanaView attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses
Mtu anayemdharau mwenzie huku akipita kwenye mashida maana yake amejidharau
Ukabila wa kenya hauna tatizo kwanza unasaidia uwiano wa uwakilishi katika mabunge yao, hivyo hakuna jamii inayoachwa nyuma kiuwakilishi. Kwa anayefuatilia siasa za kenya kiundani ataona distribution ya viti vya uwakilishi kwa vyama mbalimbali ingawa kwa wale watanzania wadandiaji wa, hoja wanadhani uchaguzi ulikuwa ni vyama viwili tu cha Raila na Ruto kumbe hao wawili walikuwa umbrella 2 ambamo vyama vingi vilijikusanya kwenye ngazi ya urais na kuachiana majimbo , pia wachache waligombea kama wagombea binafsi.Kenya Elimu yao imechangamka sana TOFAUTI NA KWETU. Hata akili zao ZIMECHANGAMKA kuliko sisi. Hata ktk suala la kujiamini AKISIMAMA MKENYA NA MBONGO UTAGUNDUA MBABAISHAJI NI MBONGO ILA WENZETU WANAJIAMINI SANA NA NDIO MAANA WAPO KTK international ORGANIZATION NYINGI NJE TOFAUTI NA MBONGO. TULICHOWAZIDI KENYA NI SUALA LA UMOJA BILA UKABILA, AMBAYO NI TUNU TULIYOLETEWA NA MUNGU KUPITIA NYERERE. HILO TU NDILO TUNALOMZIDI KENYA LAKINI KIUHALISIA SISI NI WAJINGA SANA
Wako sahihi, sisi kazi ni kusifia rais aliyeko madarakani hata akiwa mbovuView attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses
Anaongelea Elimu sio ukabilaEducated za Nyokweeee. Mungiki, GARISA attacks, Westgate Massacre etc are all from your foolish populated Country. Dont compare Tanzania with that tribalism territory, we are sure One day they will become refugees in Sumbawanga and Lindi. Time will tell
Sidhani kama unaweza kuuzidi unaofanyika Tz ni dissasterHiyo sio kweli,kenya wizi wa kura ni wa hali ya juu sana
Kenya Elimu yao imechangamka sana TOFAUTI NA KWETU. Hata akili zao ZIMECHANGAMKA kuliko sisi. Hata ktk suala la kujiamini AKISIMAMA MKENYA NA MBONGO UTAGUNDUA MBABAISHAJI NI MBONGO ILA WENZETU WANAJIAMINI SANA NA NDIO MAANA WAPO KTK international ORGANIZATION NYINGI NJE TOFAUTI NA MBONGO. TULICHOWAZIDI KENYA NI SUALA LA UMOJA BILA UKABILA, AMBAYO NI TUNU TULIYOLETEWA NA MUNGU KUPITIA NYERERE. HILO TU NDILO TUNALOMZIDI KENYA LAKINI KIUHALISIA SISI NI WAJINGA SANA
Wamesoma wapi? Elimu ya form four unaingia chuo kikuu?
Kwa taarifa yako wakenya wanatamani na wanafuatilia kila kitu kinachoendelea Tanzania na wanatamani na wanaiga kila kitu kuanzia, muziki, siasa , michezo na hata dini. Kwaya za Tanzania zina trend zaidi Kenya kuliko bongo. Wao wana mamidundo yao ya kienyeji kama yule anayegaragata kwenye matope na masuti ya kijaluo ya kijani na nyekundu sijui anaitwa embarambamba?
Uko sahihi kabisa. Ukienda kwenye International conferences, presentations by Kenyens unaona kabisa kuwa Kenya wako juu by a milioni times ahead of us!
I like this quoteNb: your real education begins when you leave school.
Akili zetu zimezama kwenye mpira na ngono tu.Wako sahihi, sisi kazi ni kusifia rais aliyeko madarakani hata akiwa mbovu