Ujuaji wa Wakenya wageuka kero, watamani upoyoyo wa Watanzania

View attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.

Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses
Let him go and tell that to the bandits in Kerio valley or Baringo!

Huyu hata hajui kuwa Turkana , Isiolo na sehemu nyingi zingine zipo Kenya.

Yeye anajua Kenya ni Nairobi na Mount Kenya (Central); ndiyo maana anaona yupo"'educated" in excess, kuliko wengine wote.

His/her vision is not beyond his nose!
 
View attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.

Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses
Wamesoma wapi? Elimu ya form four unaingia chuo kikuu?

Kwa taarifa yako wakenya wanatamani na wanafuatilia kila kitu kinachoendelea Tanzania na wanatamani na wanaiga kila kitu kuanzia, muziki, siasa , michezo na hata dini. Kwaya za Tanzania zina trend zaidi Kenya kuliko bongo. Wao wana mamidundo yao ya kienyeji kama yule anayegaragata kwenye matope na masuti ya kijaluo ya kijani na nyekundu sijui anaitwa embarambamba?
 
Educated za Nyokweeee. Mungiki, GARISA attacks, Westgate Massacre etc are all from your foolish populated Country. Dont compare Tanzania with that tribalism territory, we are sure One day they will become refugees in Sumbawanga and Lindi. Time will tell
$MAKONDOO COUNTRY#🤣
 
..... We are all Educated. Hapo ndipo tusi lilipojificha. Ndio maana Mzee Lowasa alisema Education, Education Education

Kazi ya elimu ni kumfanya mtu atawale mazingira yake na ajiongoze, sasa kama mtu anashindwa kutimiza hayo malengo utasemaje kaelimika??!!---- what good is education in that case?!! Hapo elimu ni laana badala ya kuwa baraka.
 
Kenya Elimu yao imechangamka sana TOFAUTI NA KWETU. Hata akili zao ZIMECHANGAMKA kuliko sisi. Hata ktk suala la kujiamini AKISIMAMA MKENYA NA MBONGO UTAGUNDUA MBABAISHAJI NI MBONGO ILA WENZETU WANAJIAMINI SANA NA NDIO MAANA WAPO KTK international ORGANIZATION NYINGI NJE TOFAUTI NA MBONGO. TULICHOWAZIDI KENYA NI SUALA LA UMOJA BILA UKABILA, AMBAYO NI TUNU TULIYOLETEWA NA MUNGU KUPITIA NYERERE. HILO TU NDILO TUNALOMZIDI KENYA LAKINI KIUHALISIA SISI NI WAJINGA SANA

Mkabila na asiyekuwa mkabila nani mjinga sana??!!
 
Kenya Elimu yao imechangamka sana TOFAUTI NA KWETU. Hata akili zao ZIMECHANGAMKA kuliko sisi. Hata ktk suala la kujiamini AKISIMAMA MKENYA NA MBONGO UTAGUNDUA MBABAISHAJI NI MBONGO ILA WENZETU WANAJIAMINI SANA NA NDIO MAANA WAPO KTK international ORGANIZATION NYINGI NJE TOFAUTI NA MBONGO. TULICHOWAZIDI KENYA NI SUALA LA UMOJA BILA UKABILA, AMBAYO NI TUNU TULIYOLETEWA NA MUNGU KUPITIA NYERERE. HILO TU NDILO TUNALOMZIDI KENYA LAKINI KIUHALISIA SISI NI WAJINGA SANA
Uko sahihi kabisa. Ukienda kwenye International conferences, presentations by Kenyens unaona kabisa kuwa Kenya wako juu by a milioni times ahead of us!
 
Educated za Nyokweeee. Mungiki, GARISA attacks, Westgate Massacre etc are all from your foolish populated Country. Dont compare Tanzania with that tribalism territory, we are sure One day they will become refugees in Sumbawanga and Lindi. Time will tell
Ndiyo kufikiri kwa kiwango cha chini anachokisema ....your thinking is too shallow! let thewm fight injustices , siyo kama hapa majitu tunatozwa TOZO, wizi mtupu yanashangilia kama wewe
 
Mada kama hizi utakuta Mtanzania hajawahi kukaa Kenya hata mwezi mmoja akitoa 2 cents zake jinsi Wakenya walivyokuwa educated bila kujua kwenye grade ya 0-10, 0 anaona 1 yupo vizuri lakini kwenye viwango vya kiduani wote tupo vibaya.
 
Uko sahihi kabisa. Ukienda kwenye International conferences, presentations by Kenyens unaona kabisa kuwa Kenya wako juu by a milioni times ahead of us!
Mfano mwepesi tu, angalia mijadala ya sasa ya vikao vya Bunge ambako ndio kuna wawakilishi wa wananchi! Kama huwa unakichefuchefu waweza tapika.
Mtaani ambako maumivu ya maamuzi ya serikali ni makubwa, watu wanajadili Diamond kumuoa zuchu! au mama anaupiga mwingi. Upuuzi mtupu
 
exactly, eti mama yetu, mama yatu, mijitu mizima na akili zao yanamwimbia mama as if hayajui mama zao
mawazo ni Diamond na Zuchu amebeba mimba, yako busy kujadili mimba ya zuchu!..hapa ndipo usiseme: yanga simba, yanga simba, yanga simba!
 
Umetukanwa na haujaelewa kiufupi mnaambiwa watanzania wengi ni wapumbavu njnyi mnapenda bongofleva basi mambo mengine hamjiulizi au reasoning capacity ya mambo ya msingi ni ndogo sana
Ukweli mchungu
 
Dah! Huku nikuchezea sharubu za simba.
 
View attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.

Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses
"We are all educated"!!nchi inawatu milioni 55+wenye Elimu ya juu hawafiki hata milioni 10!!
Kinachowapa kiburi na kujiamini ni "vibrant democracy""rule of law,freedom of expression,it has nothing to do with education,
Kama wote wamesoma mbona Moi,Kenyata(baba)aliwaswaga na kuwaua kama panya enzi hizo?
Tom mboya,Gama pinto,Robert ouko nk!
Wangekuwa wamesoma wasingeuana kikabila uchaguzi uliopita!!?utamu wa demokrasia ndio unawapa jeuri
 
Ukitaka kupima unafuu wa kiuchumi kati ya Tanzania na Kenya.

Tanzania wananchi wake wanaunafuu zaidi kuliko Kenya.

Unakuta Mtanzania ni maskini lakini anamiliki ardhi ya kilimo pamoja na mifugo.

Ila kwa kwenye ukimkuta maskini hana kitu kabisa.
 
Kenya Elimu yao imechangamka sana TOFAUTI NA KWETU. Hata akili zao ZIMECHANGAMKA kuliko sisi. Hata ktk suala la kujiamini AKISIMAMA MKENYA NA MBONGO UTAGUNDUA MBABAISHAJI NI MBONGO ILA WENZETU WANAJIAMINI SANA NA NDIO MAANA WAPO KTK international ORGANIZATION NYINGI NJE TOFAUTI NA MBONGO. TULICHOWAZIDI KENYA NI SUALA LA UMOJA BILA UKABILA, AMBAYO NI TUNU TULIYOLETEWA NA MUNGU KUPITIA NYERERE. HILO TU NDILO TUNALOMZIDI KENYA LAKINI KIUHALISIA SISI NI WAJINGA SANA
Unakubalije wewe kuitwa wa ovyo usiejua kitu halafu unaandika sana kusapoti. Mimi nafikiri hiyo statement alikuwa anawatarget baadhi ya watu kama nyinyi msiojielewa na amewapatia kweli kweli. Umeashaangalia rate ya wasiojua kusoma na kuandika, umeangalia idadi ya vyuo na taaaisi za elimu? Wana shule za msingi ngapi ukilinganisha na sisi, vyuo vya ufundi je? Hamfanyi hata huu utafiti mdogo! Mtu anakudharau halafu unakubaliana nae. Maajabu
 
Ndivyo tulivyo, hasa wewe, majitu yanamshangilia magufuli pamoja na kuua watu .....majitu mazima yanamuimbia Rais Mama yetu mama yetu , mama ametoa hela for that and that. Hela huyo mama yenu anazitoa wapi? akili zetu ni mavi tu, blood bastards
Hapo ufipa st kuna Mwamba analamba asali!
 
Back
Top Bottom