Let him go and tell that to the bandits in Kerio valley or Baringo!View attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses
Wamesoma wapi? Elimu ya form four unaingia chuo kikuu?View attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses
$MAKONDOO COUNTRY#🤣Educated za Nyokweeee. Mungiki, GARISA attacks, Westgate Massacre etc are all from your foolish populated Country. Dont compare Tanzania with that tribalism territory, we are sure One day they will become refugees in Sumbawanga and Lindi. Time will tell
..... We are all Educated. Hapo ndipo tusi lilipojificha. Ndio maana Mzee Lowasa alisema Education, Education Education
Kenya Elimu yao imechangamka sana TOFAUTI NA KWETU. Hata akili zao ZIMECHANGAMKA kuliko sisi. Hata ktk suala la kujiamini AKISIMAMA MKENYA NA MBONGO UTAGUNDUA MBABAISHAJI NI MBONGO ILA WENZETU WANAJIAMINI SANA NA NDIO MAANA WAPO KTK international ORGANIZATION NYINGI NJE TOFAUTI NA MBONGO. TULICHOWAZIDI KENYA NI SUALA LA UMOJA BILA UKABILA, AMBAYO NI TUNU TULIYOLETEWA NA MUNGU KUPITIA NYERERE. HILO TU NDILO TUNALOMZIDI KENYA LAKINI KIUHALISIA SISI NI WAJINGA SANA
Ndivyo tulivyo, hasa wewe, majitu yanamshangilia magufuli pamoja na kuua watu .....majitu mazima yanamuimbia Rais Mama yetu mama yetu , mama ametoa hela for that and that. Hela huyo mama yenu anazitoa wapi? akili zetu ni mavi tu, blood bastardsMadharau!
Uko sahihi kabisa. Ukienda kwenye International conferences, presentations by Kenyens unaona kabisa kuwa Kenya wako juu by a milioni times ahead of us!Kenya Elimu yao imechangamka sana TOFAUTI NA KWETU. Hata akili zao ZIMECHANGAMKA kuliko sisi. Hata ktk suala la kujiamini AKISIMAMA MKENYA NA MBONGO UTAGUNDUA MBABAISHAJI NI MBONGO ILA WENZETU WANAJIAMINI SANA NA NDIO MAANA WAPO KTK international ORGANIZATION NYINGI NJE TOFAUTI NA MBONGO. TULICHOWAZIDI KENYA NI SUALA LA UMOJA BILA UKABILA, AMBAYO NI TUNU TULIYOLETEWA NA MUNGU KUPITIA NYERERE. HILO TU NDILO TUNALOMZIDI KENYA LAKINI KIUHALISIA SISI NI WAJINGA SANA
Ndiyo kufikiri kwa kiwango cha chini anachokisema ....your thinking is too shallow! let thewm fight injustices , siyo kama hapa majitu tunatozwa TOZO, wizi mtupu yanashangilia kama weweEducated za Nyokweeee. Mungiki, GARISA attacks, Westgate Massacre etc are all from your foolish populated Country. Dont compare Tanzania with that tribalism territory, we are sure One day they will become refugees in Sumbawanga and Lindi. Time will tell
Mfano mwepesi tu, angalia mijadala ya sasa ya vikao vya Bunge ambako ndio kuna wawakilishi wa wananchi! Kama huwa unakichefuchefu waweza tapika.Uko sahihi kabisa. Ukienda kwenye International conferences, presentations by Kenyens unaona kabisa kuwa Kenya wako juu by a milioni times ahead of us!
exactly, eti mama yetu, mama yatu, mijitu mizima na akili zao yanamwimbia mama as if hayajui mama zaoMfano mwepesi tu, angalia mijadala ya sasa ya vikao vya Bunge ambako ndio kuna wawakilishi wa wananchi! Kama huwa unakichefuchefu waweza tapika.
Mtaani ambako maumivu ya maamuzi ya serikali ni makubwa, watu wanajadili Diamond kumuoa zuchu! au mama anaupiga mwingi. Upuuzi mtupu
Ukweli mchunguUmetukanwa na haujaelewa kiufupi mnaambiwa watanzania wengi ni wapumbavu njnyi mnapenda bongofleva basi mambo mengine hamjiulizi au reasoning capacity ya mambo ya msingi ni ndogo sana
Dah! Huku nikuchezea sharubu za simba.Umetukanwa na haujaelewa kiufupi mnaambiwa watanzania wengi ni wapumbavu njnyi mnapenda bongofleva basi mambo mengine hamjiulizi au reasoning capacity ya mambo ya msingi ni ndogo sana
"We are all educated"!!nchi inawatu milioni 55+wenye Elimu ya juu hawafiki hata milioni 10!!View attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses
Unakubalije wewe kuitwa wa ovyo usiejua kitu halafu unaandika sana kusapoti. Mimi nafikiri hiyo statement alikuwa anawatarget baadhi ya watu kama nyinyi msiojielewa na amewapatia kweli kweli. Umeashaangalia rate ya wasiojua kusoma na kuandika, umeangalia idadi ya vyuo na taaaisi za elimu? Wana shule za msingi ngapi ukilinganisha na sisi, vyuo vya ufundi je? Hamfanyi hata huu utafiti mdogo! Mtu anakudharau halafu unakubaliana nae. MaajabuKenya Elimu yao imechangamka sana TOFAUTI NA KWETU. Hata akili zao ZIMECHANGAMKA kuliko sisi. Hata ktk suala la kujiamini AKISIMAMA MKENYA NA MBONGO UTAGUNDUA MBABAISHAJI NI MBONGO ILA WENZETU WANAJIAMINI SANA NA NDIO MAANA WAPO KTK international ORGANIZATION NYINGI NJE TOFAUTI NA MBONGO. TULICHOWAZIDI KENYA NI SUALA LA UMOJA BILA UKABILA, AMBAYO NI TUNU TULIYOLETEWA NA MUNGU KUPITIA NYERERE. HILO TU NDILO TUNALOMZIDI KENYA LAKINI KIUHALISIA SISI NI WAJINGA SANA
Hapo ufipa st kuna Mwamba analamba asali!Ndivyo tulivyo, hasa wewe, majitu yanamshangilia magufuli pamoja na kuua watu .....majitu mazima yanamuimbia Rais Mama yetu mama yetu , mama ametoa hela for that and that. Hela huyo mama yenu anazitoa wapi? akili zetu ni mavi tu, blood bastards
View attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses