Ujuaji wa Wakenya wageuka kero, watamani upoyoyo wa Watanzania

View attachment 2331670
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.

Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses
Hiyo ni kauli ya mtu mmoja wala siyo ya Wakenya wote. Na ana uhuru wa kusema kile "anachoona Yeye ni sahihi" hata kama kwa maoni ya wengi siyo kweli.

Hata sisi kwa wakati mmoja au mwingine huwa tunawadharau Wakenya, including mimi mwenyewe nimeandika sana kuwaponda. Hii tweet siyo ya kutupotezea muda kuijadili
 
Ukabila wa kenya hauna tatizo kwanza unasaidia uwiano wa uwakilishi katika mabunge yao, hivyo hakuna jamii inayoachwa nyuma kiuwakilishi. Kwa anayefuatilia siasa za kenya kiundani ataona distribution ya viti vya uwakilishi kwa vyama mbalimbali ingawa kwa wale watanzania wadandiaji wa, hoja wanadhani uchaguzi ulikuwa ni vyama viwili tu cha Raila na Ruto kumbe hao wawili walikuwa umbrella 2 ambamo vyama vingi vilijikusanya kwenye ngazi ya urais na kuachiana majimbo , pia wachache waligombea kama wagombea binafsi.

Wakenya hawapigani bali wanalumbana huku shughuli za kichumi zikiendelea kama kawaida mivutano ya kisiasa wanatumia mahakama na hakuna ubaya mtu kuexplore njia za kisheria kutafuta kile mtu anaona ni haki yake na mahakama zao zina uwazi majaji wanapatikana kwa competence na kwa ushindani sio rahisi kukubali maelekezo.

Kuhusu elimu watu kulaumu elimu ya Tanzania ni kwa vile kuna watu kazi yao ni kulaumu tu tena fuata mkumbo hawana uwezo wa kufikiri critically. Elimu ya Tanzania iko juu na ni sawa kwa viwango na nchi zingine. Jiulize kidogo kuna watu baada ya kumaliza form six , degree ya kwanza au degree ya pili wakienda nje ya nchi dunia nzima wanajoin ùniversities dunia nzima kusomea bachelor, master au PhD na madarasa hayo yana wanafunzi mchanganyiko toka nchi mbalimbali na watanzania hao wanahitimu na kufaulu vizuri tu tena wanawapita baadhi ya classmates zao. Ingekuwa Tanzania hakuna elimu hao wasingefaulu huko. Tatizo la nchi hii watu wengi wamejenga culture ya kupenda kupata pesa au huduma ,kwa dezo na wanaona ni haki yao hiyo imefanya wawe wababaishaji, wavivu wa kufikiri ,.na wanafiki ndio maana unaona inapoibuka jambo mfano huu uchaguzi wa kenya ghafla kila mtu anauelezea na humu ukisoma hoja za wengi wa watanzania kuhusu siasa za kenya unaona kabisa fulani hajjui undani wa hicho anachobishia. Pia tumbo limekuwa determinant kubwa ya, mtu kuamua asimamie wapi katika hoja iliyoko mbele yake.

Nb: your real education begins when you leave school.
 
Wanatuiga wapi? Ingekuwa Tanzania raisi angekuwa ameisha apishwa haraka haraka. Haya Tanzania hakuna kupinga kura za raisi (kichaka Cha wizi wa kura)
 
Anaongelea Elimu sio ukabila
 

Pumbavu !!! Maaaamaye ! Kenge wewe ! Have you even been to Kenya ? Turkana, Garisa, kibera! Very stupid of you ! Wakenya ni matapeli tuu ! Yaani kuongea kiingereza ndio usomi? Stupid you ! Uliona kwenye campaign rallies zao how poor they look ? Don’t be naive ! Tatizo letu sisi ni CCM tuuuu ! Get rid of this bloody party and the country will quickly transform ! Kenyans are nothing ! Nothing! Nothing!
 

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Uko sahihi kabisa. Ukienda kwenye International conferences, presentations by Kenyens unaona kabisa kuwa Kenya wako juu by a milioni times ahead of us!

Umefika maeneo ya Turkana na Garisa wewe ? Acha upumbavu kusifia majitu yanayo jipendekeza ilahali kwao ni hoi!
 
Huu ni ukweli unaouma! Tuvumilie tu hata kama hatupendi(kwasauti ya sheikh kipozeo)[emoji3]
 
Watanzania sio wajinga ila ni watu wa kuchukulia easy tu, na kingine ni kuwa utawala wetu hauruhusu mtu kuwa jasiri. Unadhoofisha spirits za kujiamini sababu ya mabavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…